(It's S2kizzy beiby) Yii! Aga kana kiuno laini cha kucheza baikoko (Koko) Nikikaona natamani tu nichambe doko (Doko) Na roho kana tatu kwa mbili hapana si kimoko (Moko) Aah-ah! Chenga kwa mwili ka gere John Boko Chii! Eeh ah roho Kanavyo isheke isheketua (Isheketu) Aga, kama hana kingili Anavyoicheketua (Cheketu) I say niletee niletee (Niweke!) Oooh niletee (Niweke!) Niletee mpaka chini (Niweke!) Unaogopa nini? (Niiweke!) Oh baby niletee niletee (Niweke!) Oh niletee (Niweke!) Mpaka juu darini (Niweke!) Kusi na kasikazini Pakua! Oh paku, pakua pakua! Uno la pochopocho Asa pakua, enhee eh (Pakua pakua) Ka kisamvu cha kopo Oya (Pakua, pakua pakua) Pakua pakua, pakua (Vanny Boy) I say ilee, iletete Mtoto punguza mapepe Acha kitee, kitetete Nivunjevunje niwe kiwetete ayee Oh, kipo taabu Katoto kamepungua (Sepetu) Kipele kikiwasha Sikuni nakakwarua (Keketu) Mtoto kashika fimbo ya babu Namshikisha adabu Wasotupenda twawapa tabu Tunawaimbia taarabu Hao! Hawana Hawana la kusema hawana Hawana, hawana la kusema hawana I say niletee niletee (Niiweke!) Oooh niletee (Niiweke!) Niletee mpaka chini (Niiweke!) Unaogopa nini? (Niiweke!) Oh baby niletee niletee (Niiweke!) Oh niletee (Niiweke!) Mpaka juu darini (Niiweke!) Kusi na kasikazini Pakua! Oh paku, pakua pakua! Uno la pochopocho Asa pakua, enhee eh (Pakua pakua) Ka kisamvu cha kopo Oya (Pakua, pakua pakua) Pakua pakua, pakua Oya baby, sisi Ndege laachia sa (Funga mkanda) Eeh baby, sweety Za kushoto kulia (Msongomsongo) Jamani popo popo Amsha popo (Amsha popo) Nasema popo popo Leo popo (Amsha popo) (Ka Mix Lizer)