Usibishane na babu wewe Tunasondeka(Utamu wa mnazi) Tunasondeka(Rixx) Tunasondeka(Matatizo) Tunasondeka(Ah Naiboi) Tunasondeka(ooh Lord) Tunasondeka(Tunarekebisha) Tabia ya kuagiza pombe na si wewe unalipa(Tunasondeka) Umekuja date na mabeste zako nasijawaalika(Uuh yeah) Njaro za kuingia chumbani mwangu na mlango hujabisha (Tunasondeka) Unang'ara ndula zangu unaziposti kwa Insta(Uuh yeah) Umenivalia wiggy tamu Kumbe ndani ni matuta(Tunasondeka) Ah kumbe pia haga feki tulidhani una figa Oh yeah yeah Si watu wana tabia mbaya Si muko na matabia mbaya Si watu wana tabia mbaya Si muko na matabia mbaya Tunasondeka iyee Tunasondeka Ikileta shida Tunasondeka ooh Lord Tunasondeka (Tunarekebisha) Tunasondeka iyee Tunasondeka Ikileta noma Tunasondeka ooh Lord Tunasondeka (Tunarekebisha) Amelala mpaka saa tisa ni kama kwangu ni kwao (Ety what!) Na ng'ombe saba na mbuzi sita sijapeleka kwao Si uliambiwa shimoni moto, mbona sasa unawika? (Unachomeka!) Tukaambiwa ni shoti moja wee ukichocha ni sita Ambia huyo politician next time akituona (Kitaeleweka!) Tangu tukuseti MCA mtaani uko MIA Si watu wana tabia mbaya Si muko na matabia mbaya Si watu wana tabia mbaya Si muko na matabia mbaya Tunasondeka Tunasondeka Maisha ya vipindi(Tunasondeka aha) Tunasondeka Takataka lovish(Tunasondeka yeah) Tunasondeka Ati sambaze nieke beti (Tunasondeka aha) Tunasondeka Break it down down down Waambie nimekam Naiboi nimekam eeh Mbogi ya Kenya imekam Waambie tumekam na ubaya tumekam eeh Mbogi ya Kenya imekam Waambie nimekam Naiboi nimekam eeh Mbogi ya Kenya imekam Waambie tumekam Naiboi nimekam eeh Wanaofanya wengi wanaojua wachache Tunawalainisha!