Unajua niliwaambia hii shughli Hii shughli mi naifanya sai Hakuna-hakuna mambo ya kesho yaani Yaani uurgh, mi-mi aii rada Rada ni ya, rada ni gani? Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?) Kwani ni kee-eesho? Kwani ni kesho? (Haiezi kuwa kesho) (Big shout out to Vinc on the beat btw) Kwani ni ke (Whoop) 1,2,3 Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?) Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?) Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?) Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?) Naifanya sai, kwani ni kesho? Na nimetoka Far East Utajuaje mi special (Woo woo) Mayolo to Nai, need no question We ni mama kayai so funga hio leso (Puss puss) Bro na mi vessel, na naamini Yesu (Aii yeah) Nadhani unamezea kwani ni kesho? Na vile unajigas utadhani ni meko Na ka si madollar, I be earning in pesas (Ching ching) Swag ni shaggy, mdomo ni baggy (Mdomo baggy) Najua hamnipendi (Uuugh kwenda) but heshimu kipaji Mi ni ka Kibaki, bobo ka Kimathi Usilipize kisasi utapigwa risasi Na kwani ni kesho, Usijifanye ka hujui Shughuli ya leo, inafaa nimalize jo asubuhi Na simu kama sio mboka, mi sichukui Na Mungu naomba uzidi kunipa hawa maadui So ka una shida si ubanje sai, kwani ni kesho Na ka una deni we si unilipe, kwani ni kesho Si mlitaka clout mi nishawapea, kwani ni kesho Kwani ni kesho, kwani ni kesho? Kwani ni kesho? Kwani ni kee-eesho? (Kwani ni Kesho) Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho) Kwani ni ke Kwani ni kesho kesho kesho kesho Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?) Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?) Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?) Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?) Yeah ey I'm blessed, am blessed trust me (OG) Young Jazz Harsh G Kamlesh Patni, you can flex, mbwakni Hio slang ni yangu sai na najua nimewaboo Na mkinirushia mawe mi huwa narespond na flow Inakuwa mmenibebanga ndogo, Embakasi mi huitwa Kamotho Tulianza na chipo za ngovo siku hizi keroma huletwa na Glovo Mmekosa qualification na mnataka certification Clout-chasing ndo kitu iko fashion Na nyi wote bado ma new bie Flow sigeuzi upende usipende, kwani ni kesho (Kwani ni kesho?) Luku kasuku lakini ni safi kwani ni kesho (Kwani ni kesho?) Jezi origi lakini natesa kwani ni kesho (Kwani ni kesho?) So we nichukie but mi nakafunga kwani ni kesho (Kwani ni kesho?) Flow sigeuzi upende usipende, kwani ni kesho (Kwani ni kesho?) Luku kasuku lakini ni safi kwani ni kesho (Kwani ni kesho?) Jezi origi lakini natesa kwani ni kesho (Kwani ni kesho?) So we nichukie but mi nakafunga kwani ni kesho (Kwani ni kesh) Kwani ni kesho? Kwani ni kee-eesho? Kwani ni kesho? Kwani ni ke Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?) Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?) Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?) Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?)