Kishore Kumar Hits

Khaligraph Jones - Sifu Bwana (feat. Nyashinski) текст песни

Исполнитель: Khaligraph Jones

альбом: Sifu Bwana (feat. Nyashinski)


Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
(Nakusifu) Whether rich ama poor ju najua utacheza kama wewe
(Nakusifu) Nikikanyaga kanyaga chini non-stop
Shetani akemewe (nakusifu)
Juu hii mboka imejipa ina ni nice nikijua for my freedom
That you had to pay the price
So ukiona nimechizi nikisifu usishangae
Usishangae kuniona na upako
Na ukitaka mpe maisha yako
Na si utani ndio upate thamani
Usiwache shetani aku-kalie chapo (yeah)
We ndio hujua ma hali huniweka
Sitishiwi na mali ama pesa
Ju, ya dunia ni ya kupita
Ipo siku mbinguni nitafika
Kanfanya msafi dhambi ukanfuta
Siwezi kukupay for all this grace (facts)
Maisha yangu we ndio controller
Haijalishi nini me naface
Sa mi ni mali ju yako wee
Omera tuliwacha ku sandoree
So tumsifu bwanaa
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
(Nakusifu) Tena kila siku wee ndio kila kitu
(Nakusifu) Tena kila saa vile inafaa
Juu vile inafaa nataka nisifu (nakusifu)
Daily naona mkono wako yeah
We ndio unafungua milango yeah
Bado unatenda maajabu, amen
Siezi ata count time nimefikiria najua ukanishow wee ndio bado bazeng
Kaa niko down, au niko juu
Haina issue najua vile hii story ina end
Twende na plan yako juu yangu ni kufuata penye unaongoza my friend
Yake ndio crown, hizi zingine hazinanga
Uzitombele ya elohim
Naona mablessing, naona mapenzi
Amazing grace ni sound track ya play ya maisha ya mine
Naanzanga days na prayer na smile na peace of mine
Daily naona mkono wako
We ndio unafungua milango
Bado unatenda maajabu, amen
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
Sifu bwana, sifu bwana daima
Moyo wangu sifu bwana daima
(Nakusifu) Whether rich ama poor ju najua utacheza kama wewe
(Nakusifu) Nikikanyaga kanyaga chini non-stop
Shetani akemewe (nakusifu)
Juu hii mboka imejipa ina ni nice nikijua for my freedom
That you had to pay the price
So ukiona nimechizi nikisifu usishangae

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Ex

2023 · сингл

Похожие исполнители

Meddy

Исполнитель

Nandy

Исполнитель