(Big shoutout to Vincent on the Beatz by the way) Niko na gari nabebesha madrii (Oh madrii) Madem ni sare tunabeba for free (For free) Maboy wang'are kaa huja tripa huingii (Yeiyee uuuu) Vee kuko shwari imebidi wametii Kaa zimekunice basi upige manduru (Manduru) Hizi baraka ni zote za Mungu (Za Mungu) Mali safi pengi lazima akuwe wa nguvu (Wa nguvu) (Wa nguvu) Juu mi ni msela wa nguvu (Wanguvu) {Khaligraph Jones} Mi ndo huletanga vurugu (Vurugu) Na vile nawaroga chama ni juju (Raa raaa raaa) Sjai kua mnyonge mimi ni sugu (Iyeee) Na case hujaijua Omolo na Kiba uwanga mandugu (Iyeee) Niko na pesa na show mi nalipwa mita na nusu Compen pressure bado unajua wanalipwa marupu Mashori wameweza watoto bha kenya wote ni wasupu Bado tuko bongo na lazima mi nitapita na mtu Niko na gari nabebesha madrii (Oh madrii) Madem ni sare tunabeba for free (For free) Maboy wang'are kaa huja tripa huingii (Yeiyee uuuu) Vee kuko shwari imebidi wametii Kaa zimekunice basi upige manduru (Manduru) Hizi baraka ni zote za Mungu (Za Mungu) Mali safi pengi lazima akuwe wa nguvu (Wa nguvu) (Wa nguvu) Juu mi ni msela wa nguvu (Wanguvu) Chap chap Money chap chap now U care me more you make it crap crap crap Na umenivalia guch ya gistrii Girl I'm not yours to that you kill me (Eeh) Now sasa tupa (Tupa) Kiuno tupa (Tupa) Show them you can tupa (Tupa) Kiuno tupa (Tupa) Girl unanibamba sana Ooh my girl unanibamba sanaa Niko na gari nabebesha madrii (Oh madrii) Madem ni sare tunabeba for free (For free) Maboy wang'are kaa huja tripa huingii (Yeiyee uuuu) Vee kuko shwari imebidi wametii Kaa zimekunice basi upige manduru (Manduru) Hizi baraka ni zote za Mungu (Za Mungu) Mali safi pengi lazima akuwe wa nguvu (Wa nguvu) (Wa nguvu) Juu mi ni msee wa nguvu (Wanguvu) Aaah Mi ni msee wa nguvu Msee wa power Ndo kuwe dis ai piga tei na dawa (At tei na dawa) Ye dawa na tei Makalao kwa milango battle wana say Wanataka jua ka natumianga madrei Lead kila siku ni ka nimepandanga bei Nipate zaba juu ya shisha mitishamba napraise Na kila siku ni mazishi mi hulala kwa grave Nipo na Kiba tuko pande za Dodoma tunanice kwa sherehe tunamalizia Dar-Es-Salaam Mali safi ka ni safi hakuna haja ya intro Najitokeza nikisema habari madam Anataka jua ka nimejipin mi nasema yes bwana Na si eti nimekali magan Anajua kunifanya ile kitu Na kila mi hutaka kwenda yufanya karia koo Niko na gari nabebesha madrii (Oh madrii) Madem ni sare tunabeba for free (For free) Maboy wang'are kaa huja tripa huingii (Yeiyee uuuu) Vee kuko shwari imebidi wametii Kaa zimekunice basi upige manduru (Manduru) Hizi baraka ni zote za Mungu (Za Mungu) Mali safi pengi lazima akuwe wa nguvu (Wa nguvu) (Wa nguvu) Juu mi ni msela wa nguvu (Wanguvu)