(Big shoutout to Vincent the Beatz by the way) Wapi Kamnyweso Wapi Kamnyweso Wapi Kamnyweso Wapi kamnyweso Hii ngoma nimefanyia maboy na madiva Upende usipende huwezi avoid hawa manigga Ukinipatia mboka sikuenjoi namaliza Manze ni Omollo jo na mtoi wa Hadijah Na mi ninani to prove no point for de media Go ahead and light a joint for this feature Rada sikutafta coins ni mamita Na peng ting ka si Wamboi ni Anita Kanairo wamenibandika jina sonko Kogalo massive hii ligi mi ndo na control Odi dance sitambui sijui azonto Na tumbler itashikwa aje bila Okonkwo Na kila nikichunisha debe wanaturn face Utadhani wameona manjege au masanse Niko zabe juu ya veve na machampez Haters nawapea headache vile narun place Nasema mi daktari ogopa hii kambi my crew Kazi yetu ni kushinda nikiparty coz this my life and my rules Tumeshika mtaaani kwa ghetto Majengo hadi Soweto Kanashika leo mpaka kesho Mr Tumbler wapi kamnyweso Wapi kamnyweso(Kamnyweso) Wapi Kamnyweso(Kamnyweso) Wapi Kamnyweso(Kamnyweso) Wapi Kamnyweso(Kamnyweso) Wapi Kamnyweso(Kamnyweso) Wapi Kamnyweso(Kamnyweso) Wapi Kamnyweso(Kamnyweso) Wapi Kamnyweso(Kamnyweso) Wapi Kamnyweso(Kamnyweso) (Okwonko) You didn't know Okonkwo can spit another lingo And I make it look simple Am a G in this shit just living it up I got many flows let me switch it up Umeshtuka mi sikai eh Na kizungu aki walai Ni mwisho wa mwezi najidai Leo nakunywa chupa sikunywi ndivai Ndo sherehe tunapiga place ya nguvu Mahali pombe inaserviwa na tunjugu Aki ya nani leo nikishika mutu My chik, ataenda kuku Lamba chupa ukilamba mtu Tupa lugha kamata mtu Chuma nzuri hainanga kutu (Hey Okwonkwo ebu roga watu) I keep it one hundred Me and OG we glowing this money You know we run this streets You know we killin this shit Level up! Nasema mi daktari ogopa hii kambi my crew Kazi yetu ni kushinda nikiparty coz this my life and my rules Tumeshika mtaaani kwa ghetto Majengo hadi Soweto Kanashika leo mpaka kesho Mr Tumbler wapi kamnyweso Wapi kwamnyweso Kamnyweso Wapi kwamnyweso Kamnyweso Wapi kwamnyweso Kamnyweso Wapi kwamnyweso Kamnyweso Wapi kwamnyweso Kamnyweso Wapi kwamnyweso Kamnyweso Wapi kwamnyweso Kamnyweso Nasema Leo form yetu kamnyweso eeeh Na kama zimekushika basi weka yako juu Nasema Leo form yetu kamnyweso eeh Na kama zimubamba basi inua yako juu