Niaje Rada Rada inakaa ni safi ama? Rada safi,rada safi Omollo dong an generous hapana ngati Doh nimekafunga siezi mind kupanda basi Naishi vile nataka kitu siwezi ni kubamba umati Don Pablo proof kandarasi I make a living na kalamu karatasi An entertainer tho sipendi sarakasi Kiki na izi kasheshe za media na paparazzi Rada safi rada safi Utajuaje nina moti kama hujarada car keys Na ka ni nduthi brand ka wasaki And do I have to dumb it down Ju inakaa wapati Kawataki mi nasema sawa basi Bora leta usingore tukipiga harakati Coz am an artist na narequire ukarabati Kuroga vile naroga zimeriet rada safi Rada safi Rada Safi Najipuliza marashi ndo nifike party ju rada ni safi Hakuna wasiwasi maswara sitaki ju rada ni safi Rada safi rada safi For success kijana anakuanga thirsty I do my best ju mi sitaki blunder trust me Kuishiwa when am still at the top kama tuskys Man am bad still humble ju anatouch streets Mi lawama kijana hapana ass kiss Rada safi nikishajengea madha kasri Another plus G I guess it makes a brother happy Warazi wanataka niende mi huwonder wapi Coz studio Sunday tu Sunday napanga traki Am so attached to the hustle jaribu ulete zogo Nikufanyie venye redsan alifanyia sapit Hapa nafasi ju leo sijakam na kasi Mdogomdogo ndo pace omera you don't want to rus me Position one iyo story ya namba last zi Track deep ivo ndo venye mi humurder verse sheesh! Hush please unajifanya huoni pamba safi Black jeans chini na juu nimengara shati Nakaa Versace but nilibuy ngara last week I know I said am rich lakini hasara staki Rada safi Rada Safi Najipuliza marashi ndo nifike party ju rada ni safi Hakuna wasiwasi maswara sitaki ju rada ni safi Ni mara ngapi ntawasho eti rada safi Na rapper ka mi ndo mpate you rather lucky Papa Jones baba yenyu mi ndo baba rasmi Lastly thanks G buda rada safi Na niko chini ya waba nagather mkwanja nasaka cash mi Usinibother naa ka una za ufala ju pesa Otas bi Na biashara ni biashara so ata ukicatch dis Sinanga umama za kukujibishana na rap beef Rada chafu si chafu ni rada safi Na ka rada haina Khali iyo rada haina ladha basi I come in peace ka vipande za mananasi And if man dem wana hate Then definitely man a bad ting Bonga choo na drink yako ntaifanya harpic Last nigga kuzu alibaki hana heartbeat Am a tough street nigga but only if you attack me But holy Joe juu kila Sunday mi hufikanga church 6 Rada safi Album, classic Platinum, aki Mada, graphic Jah jah, got me Daamn that's justice asanti kuniskiza God bless it's a wrap peace Rada safi Rada Safi Najipuliza marashi ndo nifike party ju rada ni safi Hakuna wasiwasi maswara sitaki ju rada ni safi