Mba, mba, mba, mba, mba, mba, mba, mba Mba, mba, mba, mba, mba, mba, mba, mba Bwana wa mabwana apewe sifa (Bwana wa mabwana apewe sifa) Bwana wa mbinguni apewe sifa (Bwana wa mbinguni apewe sifa) Yeye ni mfalme apewe sifa (Yeye ni mfalme apewe sifa) Yesu mwokozi apewe sifa (Yesu mwokozi apewe sifa) Atupenda Atujali Abariki Yeye ni mwema Mwamba wetu Kimbilio Mfariji Yeye ni mungu Aliteseka kwa ajili yetu (Aliteseka kwa ajili yetu) Akatufia msalabani (Akatufia msalabani) Ili tupate wokovu kwake (Ili tupate wokovu kwake) Tuwe na ushindi kwa jina lake (Tuwe na ushindi kwa jina lake) Tumsifu Tumwabudu Tumwiue Yeye ni mwema Jehovah Jireh Jehovah shammah Jehovah rafa Yeye ni Mungu Bwana wa mabwana apewe sifa (Bwana wa mabwana apewe sifa) Bwana wa mbinguni apewe sifa (Bwana wa mbinguni apewe sifa) Yeye ni mfalme apewe sifa (Yeye ni mfalme apewe sifa) Yesu mwokozi apewe sifa (Yesu mwokozi apewe sifa) ♪ Atupenda Atujali Abariki Yeye ni mwema Mwamba wetu Kimbilio Mfariji Yeye ni mungu Tumsifu Tumwabudu Tumwiue Yeye ni mwema Jehovah Jireh Jehovah shammah Jehovah rafa Yeye ni Mungu Atupenda (atupenda) Atujali (atujali) Abariki (abariki) Yeye ni mwema (mwema) Mwamba wetu (oooh mwamba wetu) Kimbilio (kimbilio) Mfariji (ooooh) Yeye ni mungu (yeye ni Mungu) Tumsifu (tumsifu) Tumwabudu (tumwabudu) Tumwiue (tumwinue) Yeye ni mwema (mwema) Jehovah Jireh (Jehova jireh) Jehovah shammah (Jehovah shammah) Jehovah rafa (ooooh) Yeye ni Mungu (yeye ni Mungu) Atupenda (atupenda) Atujali (atujali) Abariki (abariki) Yeye ni mwema (mwema) Mwamba wetu (oooh mwamba wetu) Kimbilio (kimbilio) Mfariji (ooooh) Yeye ni mungu (yeye ni Mungu)