Wengi wamekusifia Wengi wamekuimbia Wengi wamekutolea bwana, sadaka na maombi mazuri na ibada Natamani nikusifu Natamani nikuimbie Nataka nikutolee ibada, sadaka na maombi hujawahi kuyasikia La maneno yananipelea Na matendo yananikosa Yamepimwa kwenye mizani Yameeonekana ni mepesi Mawazo yangu hayatoshi Fikra zangu ni laini Hata niweze kukusifu Uketiye patakatifu Sasa naomba maneno na mawazo ya moyo wangu yapate kibali mbele zako Ni wewe ni wewe bwana Ni wewe ni wewe bwana Ni wewe ni wewe bwana Ni wewe ni wewe bwana Ni wewe ni wewe bwana Ni wewe ni wewe bwana Ni wewe ni wewe bwana Ni wewew ni wewe bwana Nimeshindwa kuhesabu Uliyofanya kwangu hayahesabiki Hakuna namba yeyote Inayoweza kupima wema wako kwangu Imetafuta kitu gani Nilivhoanza kukupa? Li unirudishie Nimegundua nilivyonavyo vyote Wewe mungu ndiwe ulianza kunipa kwanza Nikurudishie nini? Kwa ukarimu ulionitendea Nimejaribu kufanya vizuri Ili yamkini niwazidi wote ilaaa Nimetafuta sadaka nzuri nitoe Ibrahimu ameniwahi Nimetafuta moyo mzuri wa upole Moyo wa musa umenishinda Nimetefuta staili nzuri nivheze Daudi kacheza zote Sasa naomba maneno na mawazo ya moyo wangu yapate kibali mbele zako Sasa nimeshasogea Kwenye vilindi Vya moyo wa ibada Huko yanakosikika Maneno haijuzu mwanadamu kuyanena La ninatetemeka Maana kiti chako Kina utukufu mwingi Na tena jina lako Unaitwa mungu wa yasiyowezekana Wewe waweza chota maji kwa wavu Tena waweza kuhifadhi giza nuruni Wewe waweza penda mlima Kwa baiskeli isiyo na mnyororo Wewe weweza piga mruzi Huku umefumba maji mdomoni Wewe waweza vunja jiwe kwa yai Waweza nasa chuma kwa kijiti Napata ugumu wa kukusifu Maana sifa hizi unazijua zote Sasa naomba maneno na mawazo ya moyo wangu yapate kibali mbele zako Ni wewe ni wewe bwana Ni wewe ni wewe bwana Ni wewe ni wewe bwana Ni wewe ni wewe bwana Ni wewe ni wewe bwana Ni wewe ni wewe bwana Ni wewe ni wewe bwana Ni wewe ni wewe bwana Ni wewe ni wewe bwana Ni wewe ni wewe bwana Ni wewe ni wewe bwana Ni wewe ni wewe bwana Ni wewe ni wewe bwana Ni wewe ni wewe bwana Ni wewewni wewe bwana Ni wewe ni wewe bwana