Kishore Kumar Hits

Zabron Singers - Nakutuma Wimbo текст песни

Исполнитель: Zabron Singers

альбом: Nakutuma Wimbo


Natamani nitoe shuhuda
Kupitia wimbo
Nimtete Mungu
Mataifa wapate sikia
Mazuri ya Mungu
Vile ni mwema kwetu
Sisemi bure bila Mungu
Tulivo navyo ni vya Mungu
Kufanikiwa ni Mungu tu
Ntabaki na Mungu
Nadhani wamwelewa Mungu
Si Mungu wa kushindwa kitu
Kwa wengi amefanya kitu
Na sasa wanasifu (hee)
Asante kwa baraka
Za upendo wako
Najifunza wabariki
Wapate na wengine eeeh
Asante kwa baraka
Za maisha yangu
Najifunza wanipenda
Nishare na wengine Bwana
Hee hee heee
Nakutuma wimbo (wimbo)
Uende kwa yule (kwa yule)
Ukambariki nenda
Mwambie hee hee
Makuu ya Mungu (mwambie heehee)
Vile huinua (watu)
Vile huubariki nenda (usi hee hee)
Nyumbani kazini
Uende na Mungu
Usishindwe kitu nenda
Ufike eh
Hee hee
Hee hee
Ufike eh
Hee hee
Hee hee
Wimbo sema na yule
We rafiki wa wote
Huna ubaguzi wimbo (nenda wimbo)
Kwenye gari waambie
Ofisini kazini
Nyumbani popote wimbo (nenda wimbo)
Neno la Bwana Mungu wetu
Likitamkwa juu ya kitu
Halitarudi bila kitu
Lazima litimie
Umeomba kitu kwa Mungu
Huyu ndie Mungu wa vitu
Kupata na kukosa vitu
Muamuzi bado yeye (hiii hiii)
Asante kwa baraka
Za upendo wako
Najifunza wabariki
Wapate na wengine eeeh
Asante kwa baraka
Za maisha yangu
Najifunza wanipenda
Nishare na wengine Bwana
Hee hee heeee
Nakutuma wimbo (wimbo)
Uende kwa yule (kwa yule)
Ukambariki nenda
Mwambie heehee
Makuu ya Mungu (mwambie heehee)
Vile huinua (watu)
Vile hubariki nenda (ufike hee hee)
Nyumban kazini (hee hee)
Uende na Mungu (hee hee)
Usishindwe kitu nenda
Wengine tu wakisikia
Wimbo huisi wanapona
Waambie mazuri ya Mungu
Wimbo, wimbo
Wengine tu wakisikia
Wimbo huisi wanapona
Nenda popote wimbo hee hee
Nenda wimbo
Hee hee heee
Nakutuma wimbo (wimbo)
Uende kwa yule (kwa yule)
Ukambariki nenda
Mwambie heehee
Makuu ya Mungu (Mungu)
Vile huinua (watu)
Vile hubariki nenda
(Ufike hee)
Nyumban kazini (hee hee)
Uende na Mungu (hee hee)
Usishindwe kitu nenda
Hee hee heee
Nakutuma wimbo (wimbo)
Uende kwa yule (kwa yule)
Ukambariki nenda
Mwambie heehee
Makuu ya Mungu (Mungu)
Vile huinua (watu)
Vile hubariki nenda
(Ufike hee)
Nyumban kazini (hee hee)
Uende na Mungu (hee hee)
Usishindwe kitu nenda

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители