Kishore Kumar Hits

Songa - Hero текст песни

Исполнитель: Songa

альбом: Wakati


Nikki mbishi zohan
Songa
Kipofu anataka mwanga amechoka kuona giza
Nipo uwanja wa ndege na bado sijaona viza
Unaona miujiza, mbona unauliza
Future imegoma na hata ikija utamuona jesus
Sina sensa ya makazi, na wala sina presha muda wote mi natesa na wakazi
Tenga maradhi, jenga kwa wazazi
Utupu mbaya ndio maana tunauremba kwa mavazi
Papa benedict, mc samaki wadogo nawameza niite papa mwenye dhiki
Rapa anayeishi, pia ni Mc salamu kwa baba sitokaba kupata ridhiki
Mstuko wa nafsi,
Unaposhindwa tulizana vituko na mwisho kuuliza mpo wangapi?
Nakimbia milupo sitaki, mwambie jengua mwanae tabia yupo na nash
Milupo sitaki, (kimbia) home town
Sina habari
Future imegoma hata ikija utamuona jesus
Nani mwenye vocal kama mi (hero) kioo cha jamii
Kwa tungo haupo makini kwa hiyo hubambi bro
Habari ni kwamba sina habari,
Kwako usiye na vina ila una jina kila mahali
Dar, nipo salama ndani ya bandari
Japo hakuna haki ila hali bado ni shwari
Roho inatalii nani mwenye vocal kama mi
Aingie booth na kutema flow kama hii
Kuna kioo cha jamii, kioo cha fasihi
Dogo janja ndio kioo cha madee
Bro karibu kwenye show za star
Uone ninavyokinukisha zaidi vyoo vya baa
Nakupa picha, uliza mi kwa flow balaa
Naspit fruits, njoo mwenye koo la njaa
Kidume unaiga, choreshwa kwa ujinga
Unavaa skin jeans je unataka kuonesha figure
Maisha safari, ukiuza sura haufiki
Natema shombo utafikiri nimekula samaki wabichi
Milupo sitaki, (kimbia) home town
Sina habari
Future imegoma hata ikija utamuona jesus
Nani mwenye vocal kama mi (hero) kioo cha jamii
Kwa tungo haupo makini kwa hiyo hubambi bro
Shaka zulu, bila mashaka ya takukuru
Viongozi wanatoa rushwa ili mradi kupata uhuru
Ushuru unakatwa vipi utaipata nuru
Duru ni gumu, acha nidumu mithiri guru
Sihitaji vingi, vya msingi vitanifaa
Rap msosi mkubwa, huna shilingi pita na njaa
Naipinga zinaa, kitaa mjinga ana hofu kama mlinzi anayelinda vichaa
Freestyle king, niite supernatural
Natazama chini sijui nitatupa wapi flow
Huamini mi ndo mkali, kama hutaki njoo kwa tungo, haupo makini kwa hiyo hubambi bro
Street najulikana kama icon
Juu ya classic beat songa naspit nice stone
Punch nyingi nampiga mike tyson
Naibuka mshindi hata kama ukija na iphone
Milupo sitaki, (kimbia) home town
Sina habari
Future imegoma hata ikija utamuona jesus
Nani mwenye vocal kama mi (hero) kioo cha jamii
Kwa tungo haupo makini kwa hiyo hubambi bro
Milupo sitaki, (kimbia) home town
Sina habari
Future imegoma hata ikija utamuona jesus
Nani mwenye vocal kama mi (hero) kioo cha jamii
Kwa tungo haupo makini kwa hiyo hubambi bro

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Fid Q

Исполнитель

Weusi

Исполнитель