Kishore Kumar Hits

Bony Mwaitege - Tega Sikio (Uko Wapi) текст песни

Исполнитель: Bony Mwaitege

альбом: Mama Ni Mama


Tega sikio, usikilize wimbo
Nataka kusema nawe kupitia wimbo
Tega sikio, usikilize wimbo
Nataka kusema nawe kupitia wimbo
Tega sikio, usikilize wimbo
Nataka kuhubiri kwa njia ya wimbo
Tega sikio, usikilize wimbo
Nataka kusema nawe kupitia wimbo
Dhambi litaka mwanadamu na Mungu watengane
Ndio maana ilimshawishi Adamu ajifiche
Dhambi litaka mwanadamu na Mungu watengane
Ndio maana ilimshawishi Adamu ajifiche
Lakini Mungu wa upendo alimuita Adamu
Kwa sauti ya upendo alimuita Adamu
"Uko wapi Adamu, uko wapi?"
"Uko wapi Eva, uko wapi?"
Mungu wa upendo aliita
Uko wapi kaka, uko wapi?
Uko wapi dada, uko wapi?
Yesu anakutafuta sana, uko wapi?
Yesu anakutafuta sana, uko wapi?
Usifanye moyo mgumu, ndugu yangu njoo
Uko wapi kaka, uko wapi?
Uko wapi dada, uko wapi?
Yesu anakutafuta sana, uko wapi?
Yesu anakutafuta sana, uko wapi?
Usifanye moyo mgumu, ndugu yangu njoo
Where are you my young brother, where are?
Where are you my young sister, where are?
God loves you my dear, where are?
God loves you my dear, where are?
Where are you my young brother, where are?
Where are you my young sister, where are?
God loves you my dear, where are?
God, he loves you my dear, where are?
Mikutano ya injili inayofanyika
Duniani kote kila siku
Ni Mungu anakutafuta mwanadamu
Semina za injili zinazofanyika
Duniani kote kila siku
Ni Mungu anakutafuta mwanadamu
Amemtuma Yesu msalabani
Ili kukutafuta mwanadamu
Alimtuma Yesu Golgotha
Ili kukutafuta mwanadamu
Uko wapi kaka, uko wapi?
Uko wapi dada, uko wapi?
Yesu anakutafuta sana, uko wapi?
Yesu anakutafuta sana, uko wapi?
Uko wapi kaka, uko wapi?
Uko wapi dada, uko wapi?
Yesu anakutafuta sana, uko wapi?
Yesu anakutafuta sana, uko wapi?
Usifanye moyo mgumu, ndugu yangu njoo
Where are you my young brother, where are?
Where are you my young sister, where are?
God loves you my dear, where are?
God loves you my dear, where are?
Where are you my young brother, where are?
Where are you my young sister, where are?
God loves you my dear, where are?
God loves you my dear, where are?

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители