Kishore Kumar Hits

Bony Mwaitege - Safari Bado текст песни

Исполнитель: Bony Mwaitege

альбом: Tunapendwa Na Mungu


Mfalme Belshaza maandiko yanamsimulia
Alilewa madaraka akamkosea Mungu
Alipopata ufalme alichanganyikiwa
Mpaka akathubutu kutumia vikombe vya hekalu.
Mfalme Belshaza
Alishangaa kuona mkono unaandika ukutani
Na anayeandika alikuwa haonekani
Maneno yaliyo jitokeza ukutani yalikuwa haya
Mene Mene Tekeli na Peresin
Maana yake ufalme wako umepimwa kwa mizani
Nao umeonekana umepunguka
Ufalme wako wamegawanywa Wamedi na Wajemi
Belshaza Belshaza
Belshaza alidhani amefika
Akaanza kudharau watu kumbe safari bado
Mfalme Belshazzar alidhani amefika
Akaanza kumdharau Mungu kumbe safari bado... Inaendelea
Safari bado... safari baaado.safari bado... inaendelea
Woho Baaa
Baaadoo safaaari bado (Baadoo)
Maisha ni safari ndefu ndungu safari bado (hei baaadoo)
Baaadoo safari bado (Ndugu yangu)
Usianze kudharau watu ndugu safari bado
Baaadoo safari bado
Endelea kumheshimu Mungu ndungu safari bado ...inaeendelea
Safari bado
Ukipigiwa simu haupokei unaiangalia tu
Unadhani umefika kumbe safari bado
Ukipita na gari yako matope unaturushia
Unadhani umefika kumbe safari bado
Umejifungua salama usifute namba za wakunga
Ndugu yangu nakukumbusha kwamba safari bado
Bado safari baaado
Endelea kuheshimu watu ndugu safari bado
Baadoo safari baaado
Usiache kumwabudu Mungu ndugu safari bado. inaeendelea
Bado heiye
Baaadoo safari bado
Maisha ni safari ndefu ndungu safari bado
Baadoo safari bado
Usianze kudharau watu ndugu safari bado
Baaadoo safari
Endelea kumheshimu Mungu ndugu safari bado ...Inaendelea
Safari baaadoo
Umesoma sawa lakini kumbuka walio kusomesha
Usiwasahau maana safari bado
Unapesa nyingi sawa lakini kumbuka ulikotoka
Usidharau watu ndungu safari bado
Baadoo safari bado
Endelea kuheshimu watu ndungu safari bado
Baaadoo safari baadoo
Maisha ni safari ndefu ndungu safari bado... Inaendelea
Safari bado ...heiyei
Baadoo safari bado
Maisha ni safari ndefu ndungu safari bado
Baadoo safari bado
Usianze kudharau watu ndugu safari bado
Bado safari bado
Endelea kumheshimu Mungu ndugu safari bado ...inaeendelea
Safari bado

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители