Sijuwe nitete ye je Kwani maneno ya mimenipita aah Nguvu na Ukwabwa wa pendo lako Huwezi ku pimwa Hujuwa niya zangu uuh Baba hujuwa uga wangu ouuh Maneno yangu machache kukueleza Upendo wangu kwako Sikiliza roho yangu baba Moyo wangu hukuimbiya Sikiya nyembo ya upendo ooouh Wa mutoto uliye mkombowa aah Nita chukuwa maneno yangu mabovo Kutangaza ukubwa wako Kwa kweli siwezi Kusema chochote Baba sikiya Roho Yangu Aaaaaaaah Aaaaaaah ouh aaaah Sasa kama nvuwa Maneno yangu yangu tiririka aah Ninge Kuwa na minugu mikononi mwangu Singeweza kusema Ila ndani ya roho yangu ooouh Baba hujuwa yote eiiii Aksante kwa maisha ukweli njiya Baba ubarikiwe Sikiliza roho yangu baba Moyo wangu hukuimbiya Sikiya nyembo ya upendo ooouh Wa mutoto uliye mkombowa aah Nita chukuwa maneno yangu mabovo Kutangaza ukubwa wako Kwa kweli siwezi Kusema chochote Baba sikiya Roho Yangu Sikiliza roho yangu baba Moyo wangu hukuimbiya Sikiya nyembo ya upendo ooouh Wa mutoto uliye mkombowa aah Nita chukuwa maneno yangu mabovo Kutangaza ukubwa wako Kwa kweli siwezi Kusema chochote Baba sikiya Roho Yangu Humm Kwa kweli siwezi Kusema chochote Baba sikiya Roho Yangu Baba baaaaaba Baaaaaba baaaaaaaaaaaaaaaa Baaaaaaaaa ah Baabababababa Kweli siwezi Kusema chochote eii Baba wangu Babaaa Kwa kweli siwezi Sema chochote Sikiya Roho Yangu