Kule ng'ambo ya mto Mambo ni sawasawa Ng'ambo ya mto mambo ni sawasawa Ng'ambo ya matatizo Mambo mi barabara Ngambo ya matatizo mambo ni sawasawa Twapita wakati mgumu Eeeeeehhhh maisha magumu yenye shida Magonjwa makali Yasiyotibika Kila jamii yaathirikaaaaaaaa Yapo umaskiniii viita vyaifunika dunia Tumezingirwa na shida oooooohhh shida Vilio kila sikuu Lakini ndugu jipeni moyo Sioo mbali tutavukaaaa Kule ng'ambo ya mtoo Hizi shida zote tutazisahauuu eeeeeeehhhhhhhh Kule ng'ambo ya mtoo Mambo ni sawa sawa Ng'ambo ya mto mambo ni sawasawa Ng'ambo ya matatizo Mambo ni barabara Ng'ambo ya matatizo mambo ni sawasawa Kule ng'ambo ya mtoo Mambo ni sawasawa Ng'ambo ya mto mambo ni sawasawa Ng'ambo ya matatizo Mambo ni barabara Ng'ambo ya matatizo mambo ni sawasawa Huruma yatoweka nduguuuuuuuu Watu hawahurumiani tenaaaaaaaa Bunduki ya leo kuua kwa risasi Ni kama kucheza kandandaaaaaa Hofu yawakabiri watuuuu Aaaacha we hapa hakuna amaniiii Matajiri kuwa nyanyasa wale maskini Ndio wimbo wa leoooo Lakini ndugu jipeni moyo Sio mbali tutavukaaaaaaa Ooooohhh Kule ng'ambo ya mto Hizi shida zoote Tutazisahauuu heeeeeeee Kule ng'ambo ya mto Mambo ni sawa sawa Ng'ambo ya mto mambo ni sawasawa Ng'ambo ya matatizo Mambo ni barabara Ng'ambo ya matatizo mambo ni sawasawa Kule ng'ambo ya mto Mambo ni sawasawa Ng'ambo ya mto mambo ni sawasawa Ng'ambo ya matatizo Mambo ni barabara Ng'ambo ya matatizo mambo ni sawasawa Ng'ambo ya matatizo Mambo ni barabara Nga'mbo ya matatizo mambo ni sawasawa