Kishore Kumar Hits

Weusi - Vi Deadly текст песни

Исполнитель: Weusi

альбом: AIR WEUSI


Najua ni vitamu
Nakula mi vitamu
Najua mi vitamu
Nakula mi vitamu
Kimanati manatii
Ike watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
Wala sio kismati
Watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
Kimanati manatii
Watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
Wala sio kismati
Watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
Mambo nini, mambo sure
Mtoko nini, mtoko sure
Mambo nini, mambo sure
Mtoko nini, mtoko sure
Najua ni vitamu
Nakula mi vitamu
Najua mi vitamu
Nakula mi vitamu
Sipigi ngumi mi napiga simu
Kwa machizi wangu hawapigi gym
Viunoni wametia vinu
Nikisema suu wanateka team
Demu wako vile namshika
Presha itakushika ukishika simu
Uchumba sukari bora lamba sana
Maana kwenye ndoa wanalamba simu
Kila tunapokutana si ni pesa
Lengo ni kupishana na hali ngumu
Wanatukana kujitambulisha
Hii ni kumaanisha kweli game gumu
Kimanati manatii
Ile watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
Wala sio kismati
Watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
Kimanati manatii
Watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
Wala sio kismati
Watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
Mambo nini, mambo sure
Mtoko nini, mtoko sure
Mambo nini, mambo sure
Mtoko nini, mtoko sure
Najua ni vitamu
Nakula mi vitamu (aree)
Najua mi vitamu (aree)
Nakula mi vitamu (aree)
Nafuta mastress watu wake (banger)
Mungu akiandika kaandika (vyema)
Kuyatimiza tu yake (mema)
Buyaka buyaka iende (banger)
Tuliwabenta (benta)
Mwenye maji akalete (leta)
Msingi pakaleta (leta)
Nasikuwaga na mentor (mentor)
Makata kata leta, eeh kataleta
Usebebe madonda
Kimanati manatii
Ile watoto nang'oka na zetu vi deadly oh
Wala sio kismati
Watoto nang'oka na zetu vi deadly oh
Kimanati manatii
Watoto nang'oka na zetu vi deadly oh
Wala sio kismati
Watoto nang'oka na zetu vi deadly oh
Mambo nini, mambo sure
Mtoko nini, mtoko sure
Mambo nini, mambo sure
Mtoko nini, mtoko sure
Najua ni vitamu
Nakula mi vitamu
Najua mi vitamu
Nakula mi vitamu
Eeh sambaza mapendo kama Bieber (ba-ba)
Hakuna mapengo tushaziba (ba-ba)
Zungusha kwa meza tunadiba (ba-ba)
Safisha kiwanja toa miiba (ba-ba)
Watoto wacheze washashiba (ba-ba)
Wanapenda upopo, wanapenda mitoko
Wanapenda mikoko, wanapendaga
I say who say babe, man don dance
Hutupendi kaa kwa kando nasi eeh
Kimanati manatii
Ile watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
Wala sio kismati
Watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
Kimanati manatii
Watoto waang'oka na zetu vi deadly oh
Wala sio kismati
Watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
Mambo nini, mambo sure
Mtoko nini, mtoko sure
Mambo nini, mambo sure
Mtoko nini, mtoko sure
Nikikutaka ukanipata
Nikakukata utadata
Nilivyokupata nikakang'ata
Nikikamata mi ni mtata
Eeh najua pisi kali
Nakula pisi kali ohoo
Watoto sukari (sukari)
Mbona bado shwari (shwari)
Okay bang bang shika (shika)
Uko na wanaume wa shoka (oh babe)
Gang gang super (super)
Super nashoboka (oh babe)
Hee ee, nakula mi vitamu (vitamu)
Napenda vi vitamu (vitamu) wee
Nakula mi vitamu (sukari)
Napenda vi vitamu wee
Najua ni vitamu (najua ni vitamu)
Nakula mi vitamu (nakula mi vitamu)
Najua mi vitamu (najua mi vitamu)
Nakula mi vitamu (nakula mi vitamu)
Kimanati manatii
Watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
Wala sio kismati
Watoto wanang'oka na zetu vi deadly oh
Mambo nini, mambo sure
Mtoko nini, mtoko sure
Mambo nini, mambo sure
Mtoko nini, mtoko sure

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Fid Q

Исполнитель