Kishore Kumar Hits

G Nako - Chi Bonge текст песни

Исполнитель: G Nako

альбом: Chi Bonge


Kama kupenda maradhi, niko hoi taabani
Na kama kutangaza nakupenda kosa, nifungwe
Kama kupenda upofu, mi sioni na sisikii
Ndo maana natangaza nakupenda, moyo wangu usiangamie
Sichepuki makona kona, na upona niugue Ukifika mi napona pona
Na rangi yako ya black me nakuona white
We kifupi nyundo, nakuonaga mnara
Anapo ona dawa, mwepesi
Mmh aaah japo chii chii, chibonge
Aah chi chi chi chibonge
Chi chi chibonge Aah chi chi chi chibonge
Aah minyama tu, Akipita minyama Anatingisha minyama tu,
Vile akipita minyama Aah minyama tu,
Akipita minyama Anatingisha minyama tu,
Vile akipita minyama, minyama
Shepu ya mabonde mabonde, nimeridhia
Nitakumiliki usikonde, ata nikifulia
Oooh beiby unashoza ng'ombe,
Mbuzi wanakimbia Na uwasha mhogo wa jang'ombe leta sufuria
Beiby usijipe stress, wewe kibonge mwepesi Waruka mpaka sarakasi,
Samba kareti unajua eeh,
Hips kiuno shangao za machaini chaini (beiby you like
The ...) --nyembamba kiuno chako feni (gyal gyal ---)
Mmh aaah japo chii chii,
Chibonge Aah chi chi chi chibonge chi
Chi chibonge Aah chi chi chi chibonge
Aah minyama tu, Akipita minyama Anatingisha minyama tu,
Vile akipita minyama(minyama)
Mwenzako mi napendaga vibaya,
Baya baya Mwenzako mi nina ugonjwa wa
Moyo, moyo moyo Mwenzako mi napendaga vibaya
Mwenzako na ugonjwa wa moyoo

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Whozu

Исполнитель

Jux

Исполнитель

Fid Q

Исполнитель

Weusi

Исполнитель