Fish crab presentation Yooh Mabibi na mabwana Wavulana na wasichana Hii ni zawadi kwenu Mi naitwa rashid Ama unaweza kutumia chid benz Ni msanii wa kizazi kipya Nimefanya nyimbo hii hapa Ametengenza lamar I Halo mamy honey Nuru yangu ninapokuwa gizani Afya njema bila magojwa Sitoki kwako siendi kwao siendi kwao Hata kwa kuongwa Wewe ni bonge la demu dada mrembo Peace kila sehemu cause huna skendo Najituma na inabidi nijitume Yote sababu yako njaa ikibana usinune Malikia wewe wapili toka mama Mama aliyenizaa ndo unafata we kimwana Simtupi Baba wala sisahau ndugu Ila ni ukweli tu wa moyo mdomo hauwezi kuwa bubu Nakupenda penda penda sioni aibu kurudia nakupenda penda Kila shetani analo shetani lake Basi kila mchagua analo chaguo lake We ndo chaguo langu(we ndo kila kitu kwangu mama) Ndiyo uhai wangu(we ndo kila kitu kwangu Mama)×2 Ii Jina lako kama pumzi yaani lazima iwepo Ili niisho kwa raha yaaani lazima uwepo Mami mami mami mami Wa kike ndo wakiume tunawahitaji maishani Mnatupa mwangaza nguvu akili Mnaweza kuliwaza mabaya tusifikiri Nyie ni kila kitu hapa duniani Uwe mdigo mpare mhehe au mmbani Yaani mapenzi kokote Kwa mtu yoyote Mradi ufanye salama usianguke tu popote Sometimea nawaza bila nyii ingekuwaje Midume tu peke yetu hivi maisha yangekuwaje Nakupenda mama achana na story za mtaa. Sitopenda honey ije siku unikatae Sitokwenda mamii nipo na wewe mileee Mpaka siku ya vigelegele Repeat Iii Unamguu unajicho Cheki kichuguu kiuno kweli ndicho Dah dimpoz sidati mimi tu tupo many people Mola alipenda akapenda akapendelea Jinsi ulivyoumbwa pekee tena hatotokea Na ndo maana Nipo imara Sikuachi wakithubutu tu msalaaa Malkia wa mimi na wadunia Hata umiss hutaki ilaunataji lisiloshindaniwa Hivi we nani we mkaliii Kama wawili we binti wee Wee mkalii Usiku silali nabaki kukutazama Kweli ninazari kwanza hupendi karama Mamito kunachochote bado nooo Kwa leo inatoshaa (Obrigadoooo) REPEAT END