Kishore Kumar Hits

Trio Mio - Fatima текст песни

Исполнитель: Trio Mio

альбом: Fatima


Bad girls all over the world
Ahhh hhaaa
Yee yee yeeeh
Trio mio
Wanzi on this one
Mkurugenzi
Kingpheezle on the beat
Fatimah fatimah fatimah taaah
Msupa mbeba zigo vile inatakikana
Anafanya nivunje shingo leo nimepatikana
Inafa nipelete jiko ndo kawaka sana
Vile fatuma amejaza kwa hio dera
Nabado anasema si mjaka ametoka mandera
Hii ni mti unasema lazima ukule hio mapera
Juu mtoto atatoka hapa utadhani nikaaka vera
Hapa ikibidi ate leo pesa natupa
Me ujitambua lugha
Lakini hapo itarauka
Kwela kameshuka
Marashi yananuka
Si wale wa matutaa tutaa
Aki banjuka
Ady kichwa kanaruka
Na kamejanjaruka
Uwezi msuka na chupa
Nimechapanisha mbaka amerudingi sare
Mbaka juzi amenijenga ndai moja ferare
Sare
Badgyal
Fatyma
Napenda vile unasonga unanimaliza
Badgyal fatima
Bazenga na makagare kizangila
Bad gyal
Fatyma
Napenda vile unasonga unanimaliza
Badgyal fatima
Bazenga na makagare kizangila
Fatima fatima fatimah taaa
Msupa beba ziggo vile inatakikana
Anafanya nivunje shingo
Leo nimepatikana
Inafanipepete jiko ndo kawake sana aii
Fatima fatima tikisha
Matina
Shukisha pandisha
Rudisha back it up
Hapa msuko msuko
Mulipuko na cheza dirty na
Sisi tu ndo tuko
Tunavituko tunatafta party na
Aii nime come na mukuchu
Nime come na ndai
Nime come na ndukulu
Nime come na ngwai
Bahati kama bukuku
Form leo ya ku fry
Leo nacome na looku tu
Mifuko ziko dry
Bad gyal
Fatima
Napenda vile unasonga unanimaliza
Badgyal
Fatima
Bazenga na makagare kizangila
Badgyal
Fatima
Napenda vile unasonga unanimaliza
Badgyal
Fatima
Bazenga na makagare kizangila
Hii doba niya kizangila
Kuskiza una budi si ni lazima
Dj rudilia hidoba wacha fitina
Kiuno inaruka enyewe siya kichinaa ayee
Hii doba niya kizangila
Kuskiza una budi si ni lazima
Dj rudilia hidoba wacha fitina
Kiuno inaruka enyewe siya kichinaa ayee
Fatimah fatimah fatimah taaah
Msupa beba zigo vile inatakikana
Ananifanya nivunje shingo
Leo nimepatikana
Inafanipelete jiko ndo kawake sana aii
Fatimah fatimah fatimah taaah
Msupa beba zigo vile inatakikana
Inafa nivunje shingo leo nimepatikana
Inafa nipelete jiko ndo kawake saana
Bad boys bad girl all over the word
Bad girls all over the world
Bad boys bad girl all over the word
Bad girls all over the world

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители