Kishore Kumar Hits

Elani - Hapo Zamani текст песни

Исполнитель: Elani

альбом: Elani Instrumentals


Rauka jamaa kumekucha
Miaka kumi na sita kidato cha Kwanza
Pokea salaam siku mpya
Insider za Kwanza zasifiwa boma
N'kaipokea tetesi
Moja shuleni wikendi
Barua uliyoituma nimeshasoma na
Sijaweza kupumua
Moyo wangu waridhika
Sijaweza kupumua.
Hapo zamani kajua ningekuoa
Hapo zamani ukiambiwa
Unapendwa.waamini
Ukipendwa una imani.
Nilikuwaza sana michana kutwa
Wewe sukuma mimi ugali wishwa
Na tulipendana kinyama
N'kaipokea tetesi kuna mwengine
Akula mishikaki aishi kifahari
Mi sikuweza kupumua
Moyo wangu ukavunjika
Sikuweza kupumua.
Sikujua miaka kumi na sita siyo miaka
Ya kuelewa dunia
Sikujua miaka kumi na sita
Siyo miaka ya kuelewa mahaba.
Moyo... moyo.

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Gilad

Исполнитель