Kusema kweli bado nakuhata And on the daily bado nakufuata Kosa sio hoja zaidi ya kukupenda Vipi nikatupa ndoto tulizoziota BRIDGE:hoooo uliniwasha nare Enzi zetu za kuparre kwa mvinyo na makali magizani hadi ngware Nikijifanya daktari wa mabinti wale Wenye shepu za hatari nikapotelea ndani... Ilaaa mwambie nampenda... Roho yamtamani, bado nampenda ukimwoona... Mwambie nampenda roho ya mtamani bado nampenda ukimwona... (Ukimwoona...) Tabasamu la kishua Roho sawa na maua I cant help I miss you every morning vile unapendeza Kama ningeweza jua yepi ya kutarajia Nisingejipata mashakani kwa niliyoyatenda Ninayempenda ni wewe hakuna mwengine wakubadili penzi Ningependa tuelewane Kiburi kisinikosanishe nawe BRIDGE:hooo uliniwasha paree na sikushika nare ukanisema kwa jirani Kwamba mimi ni kisarani aibu za hadharani vile penzi hatari Njoo unipe amani kama hapo zamani Mwambie nampenda... Roho yamtamani, bado nampenda ukimwoona... Mwambie nampenda roho yamtamani bado nampenda ukimwona... Ukimwoonaa... Mwambie nampenda roho yamtamani bado nampenda ukimwona... Mwambie nampenda roho yamtamani bado nampenda ukimwona... (Mwambieeee) Mwambie nampenda roho yamtamani bado nampenda ukimwona... (Mwambieeee) Mwambie nampenda roho ya mtaani bado nampenda ukimwona...