Your love and your mercy Endure forever Leo mpaka milele Yakiinuka mawimbi Na dhoruba zote kali Nikikanyaga mavumbi Bado unanihifathi Haya macho hayaoni Unayoniwazia mimi Na bado Hubadiliki Unatimiza ahadi Umetenda Utatenda Kulingana na ulivyonena Neno lako ladumu leo mpaka milele Umetenda Utatenda Kulingana na ulivyonena Neno lako ladumu leo mpaka milele Mpaka Milele Milele Mpaka Milele Milele Mpaka Milele Milele Mpaka Milele Milele Umetengeneza mji Wa maziwa na asali Pasipokua na chuki Matatizo ya awali Wanilinda kama mboni Pasipo wewe mi sioni Na yote unamiliki Utatimiza ahadi Umetenda Utatenda Kulingana na ulivyonena Neno lako ladumu leo mpaka milele Umetenda Utatenda Kulingana na ulivyonena Neno lako ladumu leo mpaka milele Mpaka Milele Milele Mpaka Milele Milele Mpaka Milele Milele Mpaka Milele Milele Umetenda Utatenda Kulingana na ulivyonena Neno lako ladumu leo mpaka milele Umetenda Utatenda Kulingana na ulivyonena Neno lako ladumu leo mpaka milele