Nilipofika Golgotha Nikaiona huko Neema kubwa kama mto Neema ya hajabu Neema ya Golgotha ni kama bahari kubwa Neema tele na ya milele, neema ya kutosha Neema ya Golgotha ni kama bahari kubwa Neema tele na ya milele, neema ya kutosha ♪ Nilipofika moyo wangu Ulilemewa sana Sikufaamu bado vema Neema yake kubwa Neema ya Golgotha ni kama bahari kubwa Neema tele na ya milele, neema ya kutosha Neema ya Golgotha ni kama bahari kubwa Neema tele na ya milele, neema ya kutosha ♪ Nilipoona kwamba Yesu Alichukua dhambi Neema ikadhihirika Na moyo ukapona (oh) Neema ya Golgotha ni kama bahari kubwa Neema tele na ya milele, neema ya kutosha Neema ya Golgotha ni kama bahari kubwa Neema tele na ya milele, neema ya kutosha ♪ Mbinguni nitakapofika Furaha itakuwa Kuimba juu ya neema Milele na milele Mbinguni nitakapofika Furaha itakuwa Kuimba juu ya neema Milele na milele (oh) Neema ya Golgotha ni kama bahari kubwa Neema tele na ya milele, neema ya kutosha (ah-ih-oh, neema) Neema ya Golgotha ni kama bahari kubwa Neema tele na ya milele, neema ya kutosha (oh) Neema ya Golgotha ni kama bahari kubwa Neema tele na ya milele, neema ya kutosha Neema tele na ya milele, neema ya kutosha Neema tele na ya milele, neema ya kutosha