Aliepanga ni manani, Shida na riziki zangu Aliezitupa gizani, Shida na tabu zangu oooh Aliepanga ni manani, Shida na riziki zangu Aliezitupa gizani, Shida na tabu zangu oooh Nasimama na mola kwa kila jambo lile nitendalo Maneno ya watu bakora, yalinichapa nikaumia Lakini machozi machozi nilolia zamani, yashafutika Japo simanzi majonzi yalojaa moyoni, nikikumbuka Nilishaambiwa zamani kinyago uchongacho hakikutishi ng'ooo Ndio maana nasimama na aliepanga Aliepanga ni manani, Shida na riziki zangu Aliezitupa gizani, Shida na tabu zangu oooh Aliepanga ni manani, Shida na riziki zangu Aliezitupa gizani, Shida na tabu zangu oooh Ukitazama kwa macho yako, huwezi kumjua mwema Mateso yako furaha yao, tena mengi watasema Moyo wa mtu kichaka, mengi yalo fichika Unaemdhania mwema, kumbe mchawi kwako Nilishaambiwa zamani, kinyago uchongacho hakikutishi ng'oo Ndio maana nasimama, na alilopanga Aliepanga ni manani, Shida na riziki zangu Aliezitupa gizani, Shida na tabu zangu oooh Aliepanga ni manani, Shida na riziki zangu Aliezitupa gizani, Shida na tabu zangu oooh Aliepanga ni manani, Shida na riziki zangu Aliezitupa gizani, Shida na tabu zangu oooh Aliepanga ni manani, Shida na riziki zangu Aliezitupa gizani, Shida na tabu zangu oooh