Kishore Kumar Hits

Fanuel Sedekia - Mvua Ya Baraka текст песни

Исполнитель: Fanuel Sedekia

альбом: Uwepo Wako Umenifunika

Nimemuona Bwana
Nimemuona Mfalme
Nimenyeshewa
Na mvua ya baraka
Nimemuona Bwana
Nimemuona Mfalme
Nimenyeshewa
Na mvua ya baraka
Ameniambia
Mambo ya maisha yangu
Nimenyeshewa na mvua ya baraka
Ameniambia
Mambo ya maisha yangu
Nimenyeshewa na mvua ya baraka
Katika uwepo wake kuna ukamilifu furaha na amani vimekamilika

(Nimenyeshewa) nimenyeshewa na mvua ya baraka

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители