Nguo walimvua Nguo walimvua Nguo walimvua Nguo walimvua Mwanadamu alipoasi mbele zako Mwanadamu alipoasi mbele zako Mungu wa huruma ulimhurumia Mungu wa huruma ulimhurumia Ulimtoa Yesu,kwa gharama kubwa Ulimtoa Yesu kwa gharama kubwa Oh-h-h-h-h Nguo walimvua Nguo walimvua Misumari alipigwa, oh Ni mijeleti alipigwa Alipopigwa mijeleti ilitoka na nyama Maumivu makali yeye aliyapata Neno la Mungu linasema hivi Kwa kupigwa kwake sisi tumepona Kwa kupigwa kwake, umepona ukimwi Kwa kupigwa kwake, umepona cancer Kwa kupigwa kwa Yesu cancer wanapona Amesema yeye Amesema yeye Ndugu yangu Mungu si mawanadamu atasema uwongo Na kama Mungu akiahidi jambo, ni lazima atalitengeneza Ni kuamini na kusimama katika neno Kama Mungu asingeliweza kuponya ukimwi Angeandika kwenye neno lake Kwamba ninaponya magonjwa yote isipokuwa ukimwi Kwa nini Mtanzania ufe? Ikiwa mapepo yanakemewa yanapona Basi ata ukimw Mungu ataweza ponya Kama Musa alivyowaambia wana Isiraeli Tazameni yule nyoka wa shebaha utapona Na mimi ninakutakia simama katika neno Umekwisha kuponya kwajina jina la Yesu Alipopigwa mjeleti nyama zilimtoka Alipochomwa mkuki, damu na maji zilitoka Kwa msamaha huo, ushindi tumepata Kwa msamaha huo, uzima tumepata Kwa msamaha huo, uzima tumepata Mana nguo walimvua Mijeleti ulipigwa Wala hujakufa, oh Ni lazima watanzania Swali ni kujiuliza Ndugu zangu wapendwa Swali kujiuliza Kama wadhani umeshindwa, Mungu ameshinda Mana nguo walimvua Usiogope majibu ya daktari Hayo majibu ya daktari wala siyo ya Mungu Kwa kua umetangaziwa uponyaji Kwa kupigwa kwake umepona Aibu yako ilikuwa juu yake Sio nisababu ya kulalamika Na kwa nini ufe? Leo hii nakutangazia uponyaji Ukisha kumwamini Yesu na kutubu dhambi zako Umekwishaa pona,usitende dhambi tena Msamaha tumepata, uzima tumepata Mana nguo walimvua Nguo walimvua Misumari alipigwa Taji la miba alivikwa Ule msumari ndio ushindi wako Na ule msumari ndio uzima wako Ile damu na maji igeusha ukimwi Ile damu na maji, ndiyo inaponya Nguo walimvua Nguo walimvua Wewe unayesikia sauti hii Haijalishi unaumwa kiasi gani Haijalishi watu wanasema namna gani Wengine wanangojea kwamba utakufa Lakini nakwambia hautakufa Ili usimulie wema wa Bwana Kama Yesu alivuliwa nguo Basi zile aibu zako Baba amezibeba Amini leo, mwamini Yesu kuwa Bwana na monkozi wa maisha yako Hautakufa utaishi Kwa sababu umesimama katika neno Mwambie Bwana Yesu anatosha Amini leo hii, wala usisikie vipimo vya daktari Sasa ni zamu ya Mungu, kujitukuza Ni wakati wa Yesu kuinuliwa, ni wakati wa Yesu kutukuzwa Mwambie Bwana Yesu unataka uponyaji Mpona aliyewaponya wenye ukoma Ndugu yangu mtanzania, hatutakufa, tutaishi Ili tusimulie makuu wa Mungu Kwa kupigwa kwako Yesu Msamaha tumepata Kwa kupigwa kwako Yesu Tanzania tumepona Kwa kupigwa kwako Yesu Africa tumepona Nguo walimvua Laana ya ukimwi haipo tena Kumbuka Musa aliwaambia wana Israeli Tazameni nyoka wa shama, mutakapo ona mtapona Kumbuka Musa aliwaambia wana Israeli Mtazame nyoka wa shama, nyi wote mtapona