Mimi nasafiri oh Mimi nasafiri Duniani napita Naelekea juu mbinguni Kwa baba yetu huko Naelekea juu mbinguni Kwenye makao ya milele Naelekea juu mbinguni Kwa Baba yetu huko Mbinguni juu kwa Baba Mbinguni juu kwa Baba Mbinguni juu kwa Baba Bwana kweli mimi nasafiri oh Mimi Bwana kweli nasafiri Mimi Bwana kweli nasafiri oh Mimi Bwana kweli nasafiri oh Dunia ninapita Wenyeji wangu kwako Dunia ninapita Wenyeji wangu kwako Bwana eh ♪ Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh Dunia matatizo Dunia shida nyingi eh Dunia dhiki magonjwa Dunia vifo vingi Dunia matatizo Dunia shida nyingi eh Dunia dhiki magonjwa Dunia vifo vingi eeh Bwana eh ♪ Kweli Bwana Yesu mimi muhitaji Kweli Bwana Yesu mimi muhitaji Kweli Bwana mimi muhitaji Mimi Bwana kweli muhitaji Nahitaji upendo wako Nahitaji baraka zako Nahitaji miujiza Nahitaji rehema zako Nahitaji neema zako Nahitaji upendo wako Nahitaji baraka zako Nahitaji miujiza Bwana eh Kweli Bwana mimi muhitaji eh Mimi Bwana Yesu kweli muhitaji eh Mimi Bwana kweli muhitaji eh Mimi Bwana kweli muhitaji eh Nahitaji uweza wako ♪ Bila wewe Yesu mimi siwezi eh Mimi siwezi Bila we ya dunia yanizungukapo Mimi siwezi Kukabiliwa nayo magonjwa Mimi siwezi Ona shida katika maisha Mimi siwezi Bila wewe Yesu mimi siwezi Mimi siwezi Bila wewe Yesu mimi siwezi Mimi siwezi Bila wewe Yesu mimi siwezi Mimi siwezi Matatizo ya dunia yanizungukapo Mimi siwezi Ona hili gonjwa la Ukimwi Mimi siwezi Bila wewe Yesu mimi siwezi Mimi siwezi Bila wewe Yesu mimi siwezi Mimi siwezi ♪ Nina wewe Yesu mimi mushinda Mimi n'tashinda Yale ya dunia mimi n'tashinda Mimi n'tashinda Nikiwa nawe Yesu mimi n'tashinda Mimi n'tashinda Yale ya dunia mimi n'tashinda Mimi n'tashinda