Kishore Kumar Hits

Angela Chibalonza Muliri - Yesu Ndiye Baba текст песни

Исполнитель: Angela Chibalonza Muliri

альбом: Jina La Yesu (Remix)


Yesu wewe ndiye baba yangu yesu wewe ndiwe baba yangu nikikufuata sitapotea mbali ntapata uzima wa milele.
(Repeat twice)
Yesu ulisema wewe ndiye baba wa mayatima tena baba wa (repeat twice)
Shida za dunia zimenisumbua na wandugu zangu wote wamefariki nimebaki peke yangu bila msaada kwa hio nakuja kwako unaisaidie.
Jua ndugu yangu ukifariki leo utaenda peke yako na mpendwa wako atakukimbia kama vile mitume walimkimbia yesu wee
(Repeat twice)
Na maisha yangu naitoa kwako yesu
Na mali ysngu naitoa kwako yesu na jamii yangu naitoa kwako yesu yesu yesu we mshindi wangu kimbilio langu weee

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители