Kishore Kumar Hits

MASTAR VK - Nakuja текст песни

Исполнитель: MASTAR VK

альбом: Nakuja


Afande!!!
Luku ni safi kama pamba
Nadunga mpaka najigamba
Na chase makali na shada
Na nyanya nikama najimada
Sikuhizi mi nikama ng'anya
Na fika kwa keja jo kama amenipanda
Hivo umeshinda ukihanya?
Ananikumba nika ananihanda
Heri niteke akothee tupigwe mamboto tupozee
Nichachishe ndevu kama rozee
Kajaba kazozee
Uezi ni pata majini
Nizame hadi Sa niko chini
Kachipo kabambe na chili
Tunyanye hadi ka ni kazini
Nakuja kuleta mangori
Nakuja kujaza hadi pori
Nikama nina Mbogi kwa lori
Safisha uitwe wa kinori
Nakuja kuleta mangori
Nakuja kujaza hadi pori
Nikama nina Mbogi kwa lori
Safisha uitwe wa kinori
Pesa itafanya ninone, ka gym alfu ni shone
Buda nataka nisomee ndo wanakijiji waone
Mboka inafanya Nikose idhaa ya kupatana nikuchome
Na bado nasema jo sina idhaa ya ku kushika nikupone
Afande nafaa kikombe
Nipate ile baze ya vikombe
Mangoto nikama zile za quavo
Nabeba wasupa kwa benzo
Mafala nawapa maheadie hadi sikuizi wao udhani ni kenzo
Mbosso imba na ngoso
Mistari nikama za leso
Kejani idhaa niko loso
Mangoko nateka kwa messo
Hii miti ni refu bado ni dawa
Mi ndo nilipima Adam na Awa
Mi si mchafu mi nimenawa ugali iki kuja nafinya ka kawa
Cheki haujashower Buda una chawa.
Kama zimeshika jo Acha madawa
Nakuja kuleta mangori
Nakuja kujaza hadi pori
Nikama nina Mbogi kwa lori
Safisha uwe wa kinori
Nakuja kuleta mangori
Nakuja kujaza hadi pori
Nikama nikona Mbogi kwa lori
Safisha uwe wa kinori
Ama, ningeichapa aje mafathe

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители