Kishore Kumar Hits

Uncojingjong - Wanjapi текст песни

Исполнитель: Uncojingjong

альбом: UNCO


Piga Luku kula Wanjapi (Aha aha)
Wanjapi
Piga Luku kula Wanjapi (Waah waah waah waah waah waah waah)
Wanjapi
Piga Luku kula Wanjapi (Aha aha)
Wanjapi
Piga Luku kula Wanjapi (Waah waah waah waah waah waah waah)
Wanjapi
Piga luku kula mboto, jump inna dih photooooooh
Ni kama kuna joto, vidole ni mangoto
Mangoto moto motoooooooh, kwa mkono wa kushoto
Clarks pon clarks, ah mih gang fi dih shine
Mambati kwa wingi, sijaomba ni za mine
Lagunya Delta, ma cat ziko fine
Ka gwanda si oriji, don't waste my time
Piga Luku kula Wanjapi
Wanjapi
Piga Luku kula Wanjapi
Wanjapi
Piga Luku kula Wanjapi
Wanjapi
Piga Luku kula Wanjapi
Wanjapi
To i looking fresh is important
Luku jamo fisa juu chini siezi kosa
Atakama siko mboka
Sky larking na makeen na kimbota
To i looking fresh is importa ant
Looking fresh is important
Atakama siko mboka
Sky larking na makeen na kimbota
Mih av nowhere fi go
Lakini kuna luku minataka kuwasho
So!
Nawapita slow-mo
Ukembe luku ukidai mboto kuja na madooh
Mih av nowhere fi go
Lakini kuna luku minataka kuwasho
So!
Nawapita slow-mo
Ukembe luku ukidai mboto kuja na madooh
Piga Luku kula Wanjapi
Wanjapi
Piga Luku kula Wanjapi
Wanjapi
Piga Luku kula Wanjapi
Wanjapi
Piga Luku kula Wanjapi
Wanjapi
Nimevaa gwanda za kiwanga
Gwanda za kiGma
Gwanda ni mafosa
Machina kujipa
Skylarking ni rima
Skylarking ni rima
Skylarking ni rima
Jinika ni ya corduroy
Jumu ni kiboko
Hii kangol lazima ikae kombo
Na nikitrace na warena
Marim zimewaka
Hii nganya lazima ikae lambo
Hotter than you tuko hapo
Me na luku ni kama tu macouple
Makastade wanaitisha
Kaa una mamboi basi unaeza zirudisha
Gwanda ni gwanda
Kula Wanjapi
Rap dokta

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Mejja

Исполнитель