Mungu anaweza kufanya njia njagwani Na mito ya maji nyikani Kama alifanya masika na kiangazi Anaweza kubadii Majira pia na nyakati Giza Totoro yanizingira Miale haijanifikia Ilhali kumekucha, pambazuka Imani, Yashuka yadidimia Amani nayo yafifia Eloi lama sabachthani Yuko Mungu anayeweza Yuko Mungu anayetenda Mwamini Yeye, Mwamini Yeye Hutoaibika Giza likiwa ni zito Bwana atawasha taa Sababu Yeye ni Mungu Mwenye amandla Atarejesha amani, Atarejesha furaha Ulivyo vipoteza kwa muda mrefu atarejesha mara Yuko Mungu anayeweza Yuko Mungu anayetenda Mwamini Yeye, Mwamini Yeye Hutoaibika Yuko Mungu anayeweza Yuko Mungu anayetenda Mwamini Yeye, Mwamini Yeye Hutoaibika aaaah Pale ninaposhindwa Nani wakuni wezesha (Mungu Pekee, ndiye awezaye) Na nikiwa vitani Nani wakunishindia (Mungu Pekee, ndiye awezaye) Napokuwa mdhaifu, Nani wakunipa nguvu (Mungu Pekee, Ndiye awezaye) Ninapotia shaka, Nani wakuniongoza (Mungu Pekee, ndiye awezaye) Yoko Mungu, Yuko Mungu Yuko Mungu ohhh Yuko Mungu anayeweza Yuko Mungu anayetenda Mwamini Yeye, Mwamini Yeye Hutoaibika Yuko Mungu anayeweza Yuko Mungu anayetenda Mwamini Yeye Mwamini yeye Hutoaibika