Sijui unaposikiliza hizi nyimbo unawaza nini Pengine wapitia katika shida mbali mbali Na dunia na magumu yake yamekukumba Pengine moyo wako mzito Washangaa, kimbilio utalipata wapi? Nina ujumbe mwema kwako Kuna mmoja ambaye akupenda Na unaweza kumtolea maisha yako yote Naye atakuweka salama Yeye ni Bwana, Yeye ni Mungu Zaburi ishirini na tatu ya tuambia Bwana ndiye mchungaji wangu Sita pungikiwa na kitu Katika malisho ya majani mabichi hunilaza Kando ya maji ya utilivu huniongoza Hunihuwisha nafsi yangu Nakuniongoza katika njia za haki kwa ajili ya jina lake Naam, nijapo pita kati ya bonde la uvuli wa mauti Sitaogopa mabaya Kwa maana wewe upamoja nami Gongo lako na fimbo yako vyanifariji Waandaa meza mbele yangu machoni pa watesi wangu Umenipaka mafuta kichwani pangu Na kikombe changu kinafunika Hakika wema na fazili zitanifuata Siku zote za maisha yangu Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana, milele