Kishore Kumar Hits

Reuben Kigame - Tulia текст песни

Исполнитель: Reuben Kigame

альбом: Tulia


Tulia Kaka tulia dada
Vita ni vyake Bwana
Hata dhoruba ivume sana
Vita ni vyake Bwana
Inua macho yako
Umtazame Mwokozi
Wale walio nawe wanazidi
Majeshi ya adui zako
Tulia tulia tulia sasa
Sichukue hatua nyingine
Sikiza sauti ya Mungu wako
Akuwazia mema
Inua macho yako
Umtazame Mwokozi
Wale walio nawe wanazidi
Majeshi ya adui zako
Usiogope
Usitikiswe
Usitazame kando
Weka imani kwa Mungu wako
Vita
Ni vyake
Bwana leo
Inua macho yako
Umtazame Mwokozi
Wale walio nawe wanazidi
Majeshi ya adui zako
Inua macho yako
Umtazame Mwokozi
Wale walio nawe wanazidi
Majeshi ya adui zako

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители