Kishore Kumar Hits

Reuben Kigame - Sababu Elfu Kumi текст песни

Исполнитель: Reuben Kigame

альбом: Usifadhaike


Hebu sifu Bwana
E moyo wangu
Sifu jina lake
Imba kabisa
E moyo
Abudu jina lake
Inukapo jua
Inukapo jua siku mpya
Nitaimba wimbo wako
Chochote kijacho
Maishani mwangu
Hadi jioni nitakwimbia
Hebu sifu Bwana
E moyo wangu
Sifu jina lake
Imba kabisa
E moyo
Abudu jina lake
Mwingi wa upendo
Mwepesi wa hasira
Jina lako kuu
Moyo mpole
Kwa wema wako
Nitaimba milele
Sababu elfu kumi moyoni
Hebu sifu Bwana
E moyo wangu
Sifu jina lake
Imba kabisa
E moyo
Abudu jina lake, cheza jini

Na siku ya mwisho
Nguvu zikiisha
Wakati wangu wa kuja kwako
Moyo wangu bado utakuimbia
Sababu elfu kumi milele
Milele
Hebu sifu Bwana
E moyo wangu
Sifu jina lake
Imba kabisa
E moyo
Abudu jina lake
Abudu jina lake
Abudu jina lake

Imba Kabisa
E moyo
Abudu Jina lake
Abudu Jina lake...

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители