Kishore Kumar Hits

ItsYaba - Kuna Vile текст песни

Исполнитель: ItsYaba

альбом: RHUMBACANE


Alright...
Yeah Yeah
Kuna vile we hufanyi ni...
Kuna vile mi hutaka ni...
Msupa mali safi kama pamba eeh
Ni ka matawi hushika vile inafaa
Mechi zote hucheza bila bila namba yo yo
Lakini bado hucheza vile inafaa
Msupa mali safi kama pamba eeh
Ni ka matawi hushika vile inafaa
Mechi zote hucheza bila bila namba yo yo
Lakini bado hucheza vile inafaa
Huniwasha kama nare
Washa kingine usisare No no no
Huniwasha kama nare
Washa kingine usisare
Baby I... tell me if you feel the vibe (mmh)
Ooh Baby I... I swear huaga umeniwai yeah yeah
Kuna vile we hufanyi ni...(ooo ye ye ye)
Kuna vile mi hutaka ni... (oo yo yo yo)
Zikishika basi zima hadi nare
Usiku mchana hadi tu mangware... x 2
Mbona wanashika nare
Nasi tuko kwa yetu safari eeh
Wanayoyasema ni ya kale eeh
Hawataki hadi si tulale eh
Hawataki mi na wewe tupandane
Wanatupiga vitu, isiyo halale
Wazime stima basi wakalale
Hizo ni gani, siyo funny
Baby I... tell me if you feel the vibe
Ooh Baby I... I swear huaga umeniwai
Kuna vile we hufanyi ni...
Kuna vile mi hutaka ni...
Zikishika basi zima hadi nare
Usiku mchana hadi tu mangware... x 2

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

BESTIE

2022 · Мини-альбом

Похожие исполнители

SERRO

Исполнитель