Bm music Gills on the beat Sq on the beat Sijui ni chingri ama ndukulu Nadhani nasuka keki kumbe joh ni fukuru Sijui ni chingri ama ndukulu Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru Ju ya mukuchu, zidi sana futuku Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru (kumbe jo ni fukuru) Ju ya mukuchu, zidi sana futuku (zidi sana) Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru (kumbe ni fukuru) Siezi kabelieve kumeanza kugeuka za kidemableach Ukiziang rima nguya kibre nimaglitch Inademia mangetheka kudaruka clit Naeza kudelete ata vile uko lit Juzi Sunday kwanza ulinipiga thande Sema stress, niko zabe nikimochoa mrambe Nashinda hustle colo colo unanibeba gabe Na vile nilikundape unanitoka juu ya pake Nasunda adi mareka mandaki unanitape Na mi ni odinare umeona ulinki na madancey Nishatia rose sidaizaski anything unasay Na kabla hujaziang acha nijitise blaze Ukifuck around, ukifuck around Siezi kakuround chuom ukifuck around Ukifuck around, ukifuck around Siezi kakuround chuom ukifuck around Sijui ni chingri ama ni ndukulu Nadhani nasuka keki kumbe ni fukuru Sijui ni chingri ama ni ndukulu Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru Ju ya mukuchu, zidi sana futuku Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru (kumbe jo ni fukuru) Ju ya mukuchu, zidi sana futuku (zidi sana) Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru (kumbe ni fukuru) Fukuru unafaa kumbumbrush Huanga ndo unangape inna dis ya time Juzi nilikuliet sai unaregret Nilishakufiget hizo enzi za kuriet Ndukilize ukistep bwaku bwaku Bumbu kwenyu unaeza zidi sana Romour so spread ka kitanda Romour so spread Tupise, na mademise umechapa za kitululu Umedownfall umedunda pungulu Zidi futuku we ni makututu Bududum na si eti nina ngurunyu Sijui ni chingri ama ndukulu Nadhani nasuka keki kumbe ni fukuru Sijui ni chingri ama ndukulu Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru Ju ya mukuchu, zidi sana futuku Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru (kumbe jo ni fukuru) Ju ya mukuchu, zidi sana futuku (zidi sana) Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru (kumbe ni fukuru) Utadhani niko tifi Kumbe zangu zilishika kitambooo sana Nishashikwa na homa ya kina Mwangi Kutumia senke kukatia mangwangi Mi hupiga sherehe disco matanga Nachipo mafukuru ka donda wa manyanga Fukuru tulia acha kucheka Nikupige mate ka barua ju umejileta We ni kienyeji na unajidai buda Kumbuka mrenda haiezi geuka skuma Mafukuru disaster wanakulakula fare Hadi mafare za mapastor Ruchepe umendape mukuchu Giz genje uko soko ukiwakashi chweza chweza Wiki jas umerienga na wachweza uchsharu We si kwela we ni mrota hadi kwa ndoto si inzagi (si inzagi) Bana nane unagawa nimegwaya (nimegwaya) Macho utatu unablink porikoya (porikoya) Ombita za mabani umekashi (umekashi) Juzilize ulitepwa na mang'oi Usingói we ni fukuru hadi furu Wa kutekwa na ginimbi na manyaru zimewaka Wanakuriau kama ndunya unapree lamboghini Na hio ngipo inatiespa unakam kuwa ndonyo Utariau malagunya umezungusha kama mamba Kila yout amendapa wa kukanja na wa vako Additicha amekuriau bila nginyo haezi rojo Umesteady kibabanga kuliko mtu wa warena Sijui ni chingri ama ndukulu Nadhani nasuka keki kumbe ni fukuru (kumbe ni fukuru) Sijui ni chingri ama ndukulu (aai bambi) Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru (kumbe ni fukuru) Ju ya mukuchu, zidi sana futuku Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru (kumbe jo ni fukuru) Ju ya mukuchu, zidi sana futuku (zidi sana) Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru (kumbe ni fukuru)