Eee nitamurukua yesu wangu Yeye amenipigania baba Haleluyah Aliumba vyote baba Naruka naruka kama ndama Narukia yesu jemedari wangu Naimba naimba kwa furaha Bwana Yesu Ameni ameniweka huru Mimi natetemeka napowaza upendo Kwako ulivyo ewe Mungu wangu ee Mimi nasifu Ninaona mkono Wako juu yangu Wala sistahili mimi eee Nimehesabiwa Mwenye haki mimi Kwa damu ya Yesu Garama kubwa yeye Mungu Mwenyewe Kwa unyenyekevu Wote Kashuka chini Mimi nawe tuokoke Naruka naruka kama ndama Narukia yesu jemedari wangu Naimba naimba kwa furaha Bwana Yesu ameniweka huru Nilikua kipofu ameniokoa Kwa sababu gani Nishiiiiiinde yesu Amenitendea mema Amenitendea mema Aaah baba Huyu yesu ameniponya Huyu yesu amenitendea majabu eeh Ndio maana ninaiiimba oooh Nitaruka rukia yesu Naruka naruka kama ndama Narukia yesu jemedari wangu Naimba naimba kwa furaha Bwana Yesu ameniweka huru Naruka naruka kama ndama Narukia yesu jemedari wangu Naimba naimba kwa furaha Bwana Yesu ameniweka huru Sifa zakooo ee baba Inua mikono, inua mikono, inua mikono Mabina, Mabina, Mabina alola Mabina, mabina, mabina alola Mabina, Mabina, Mabina alola Mabina, mabina, mabina alola Haleluyah amina Haleluyah amina Nasherekea Jina la yesu Haleluyah Narukaruka Narukaruka Nasifusifu mimi sitakoma kuimba ruka Naruka naruka kama ndama Narukia yesu jemedari wangu Naimba naimba kwa furaha Bwana Yesu ameniweka huru Naruka naruka kama ndama Narukia yesu jemedari wangu Naimba naimba kwa furaha Bwana Yesu ameniweka huru Naruka naruka kama ndama Narukia yesu jemedari wangu Naimba naimba kwa furaha Bwana Yesu ameniweka huru