Every time i take a breath or see sunshine Streams flowing from up on the high mountain Far to the far sky i know you are the only one and fore God I think of the many many times have seen your powerful ways The miracles in my life how could i live without you Wanishangaza, wanishangaza 2 ♪ Matendo yako makuu (wanishangaza) Miujiza yako yesu (wanishangaza) ♪ I take my heart, my faith, my trust Nakupa moyo wangu na imani nakuamini Baba nitaomba nitaimba nitakusifu Milele nitaomba nitaimba nitakusifu Mungu wa mapendo mwenye utukufu wote Wanishangaza, wanishangaza 2 ♪ Yesu wanishangaza, wanishangaza Wanishangaza wanishangaza Uuuuuuu eeeeee Uuuuuuu eeeeee Huuuuu eeeeeee yesu eee Wanishangaza wanishangaza Yesu wanishangaza Wanishangaza How you love me (wanishangaza) God you're mightful on me Lord (wanishangaza) Mimi mwanadamu tuu(wanishangaza) Jinsi waniwazia mema (wanishangaza) Naukuu wako yesu eeee(wanishangaza) Bwana unavyotawala (wanishangaza)