Jeshi la Bwana amka
Tuvae silaha twende
Tuimbe, tushangilie
Maana yote yawezekana
Jeshi la Bwana amka
Tuvae silaha twende
Tuimbe, tushangilie
Maana yote yawezekana (Oh)
Hakuna asiloweza
Tume-
Tumeshinda (Hallelujah) kwa jina la Yesu
Tumesimama, (Ye-eh) kazi ya msalaba
Tumeshinda (Hallelujah) kwa jina la Yesu
Tumesimama, (Ye-eh) kazi ya msalaba
Let the army of God arise
With the armour of God, arise
(Sing) Sing and shout to the King of kings
All things are possible
And nothing is impossible
Tume- tume- tume- tume- eh, eh
Tumeshinda (Ayaya) kwa jina la Yesu
Tumesimama, (Ye-eh) kazi ya msalaba
(Nasi) Tumeshinda (Hallelujah) kwa jina la Yesu
Tumesimama, (Eh, eh) kazi ya msalaba
Tumeshinda (Hallelujah) kwa jina la Yesu
Tumesimama, (Ye-eh) kazi ya msalaba
Tumeshinda kwa jina la Yesu
Tumesimama, kazi ya msalaba
Tumezungukwa na majeshi wa Mbinguni
Tumezingirwa na uwepo wako Mungu
Tumezungukwa na majeshi ya Mbinguni
Tumezingirwa na uwepo wako Mungu, sema
Tumezungukwa na majeshi ya Mbinguni
Tumezingirwa na uwepo wako Mungu
(Sema tume) Tumezungukwa na majeshi ya Mbinguni
Tumezingirwa na uwepo wako Mungu
(Sema tume) Tumezungukwa na majeshi ya Mbinguni
(One more time, lift your voice to say)
Tumezingirwa na uwepo wako Mungu
Tumezungukwa na majeshi ya Mbinguni
Tumezingirwa na uwepo wako Mungu
Come on, lift your hands to Jesus
Ah, ah, ah
Ah, ah, ah
Ah, ah, ah, ah, ah, ah, ah
Ah, ah, ah, ah, ah, ah, ah
Ah, ah, ah, ah, ah, ah, ah
Ah, ah, ah, ah, ah, ah, ah
Na sisi tume- tume- tume- tume-
Tumeshinda (Tumeshinda) kwa jina la Yesu (Come on)
Tumesimama, (Simama) kazi ya msalaba
(Sema) Tumeshinda kwa jina la Yesu
(Simama) Tumesimama, (Wo, wo, wo) kazi ya msalaba
(Sema) Tumeshinda kwa jina la Yesu
(Simama) Tumesimama, (Eh, eh, eh) kazi ya msalaba
Tumeshinda (Oh) kwa jina la Yesu
Tumesimama, kazi ya msalaba
Tumeshinda sisi, ye-eh
Wapi vigelegele kwa Yesu?
Kila mtu twe- kila mtu twe-
Shout to Jesus
Tumeshinda (Sisi, eh) kwa jina la Yesu
Tumesimama, kazi ya msalaba
Tumeshinda kwa jina la Yesu
Tumesimama, (Simama) kazi ya msalaba
Tumeshinda (Oh) kwa jina la Yesu
(Sema) Tumesimama, kazi ya msalaba (Eh)
Tumeshinda (Ah) kwa jina la Yesu
Tumesimama, kazi ya msalaba
Tumeshinda kwa jina la Yesu
Tumesimama, (Eh, eh) kazi ya msalaba
Поcмотреть все песни артиста