Kishore Kumar Hits

Dizasta Vina - A Confession of a Mad Son текст песни

Исполнитель: Dizasta Vina

альбом: The Verteller


Ah! watakwambia mi' wa kishua 'cause I'm cute and
Niko juu kama human kwenye food chain
Vile I look good and I got this cool slang
Na nina rap skills ka' Sean P wa Boot Camp
Watasema kuhusu my intelligence my balances
Watakuambia kuhusu my Teammates my Alliances
Watakuambia kuwa nina fans mpaka Kansas
Na nina-ball pia nina-draw pia ni Enthusiast wa Science
Watakuambia kuwa nina fans mpaka Marabu
Watakuambia kuwa my brain is all lava-full
Watakuambia kuwa nina perfume
Ninayopaka kuwa ina karafuu na ina-smell wonderful
Hawatakuambia kuhusu aliyenikanya hadi nikome
Aliyenizaa akanilea akani
Akanipenda, akani
Akanifanya msafi mnione
Silabi, ah! zinaunda vitenzi kwa irabu
Kutengeneza mashujaa wengi wa vitabu
Tarihi zinatungwa toka enzi za mababu
Mi' nimeona shujaa wa kweli ni ajabu
Sidhani, kama inatosha kusema "thank you
Ukinihitaji just whistle and 'Imma' rescue
Ni bahati leo niko hai, simple nafurahi kukuona
Ukiwa happy and I'm grateful
Kama nina nyota nyumbani nahitaji nini?
Nahitaji nini?
Uko moyoni mahala ambapo nahifadhi PIN
Naku-post 'Insta' kisha naku-hashtag QUEEN
Wapo ambao walifuga kiburi
Wakazipanda mbegu wakavuna sifuri
Walichana misamba wakavunja misuli
Sikutetereka maana ulinifunza vizuri
Umenifunza jinsi ya kuishi na pia
Umenipa hekima umenipa misingi na njia
Kisha ukanipa bega kubwa la kukidhi dunia
Linanipa faraja pindi n'napohisi kulia
Nani mjinga azuie mbegu bora kuchipua?
Labda kama shamba limezongwa na mabua
Umenilea 'Soja' nimekua, umenifunza akiba
Maana umasikini kidonda natambua
Niko mbali natafuta miradi sawia
Mvua inanyesha radi nasikia
Bado nasimama Imara
Asante kwa kunilea vyema mama, Umeipa zawadi dunia
Asante kwa upendo wako asante kwa kunipatia hifadhi
Asante kwa mabusu siwezi kuhesabia idadi
Asante kwa picha kali naiandikia dibaji
We' ni shujaa nitasimulia vizazi
Happy Birthday
Happy birthday
Happy birthday
Happy birthday
Ukubwa wa upendo wako hauwezi wekwa mchanganuo
Nimekulia mahala ambapo kuwa mwema si chaguo
Umenipa busara sihitaji tena mafunuo
Ikiwa nimepewa funguo, ya kuifungua dunia
Nasikitika kauli yangu sio rasmi
But I'm sure you've always meant for some' big
Maybe that's how Angel got to be
You're a proven God to me
Wimbo huu ni upendo wangu kwako
Marafiki wanafurahia uwepo wangu japo
Wapo kadhaa wanaochukia uwezo wangu
Hawatajua wala kuikisia kesho yangu
We' ni kioo naona lesson nai-reflect vile
Naona pande naona mbele najiuliza
Mi' ni nani nikusahau nikudharau
Wakati wazi umenipa sababu moja zaidi ya ku-respect women
Siwezi lipa tone la kamasi ulilonifuta
Siwezi tafuta chozi la samaki lililovuja
Siwezi badili muda kisha ukawa thamani
Nikaurudisha nawakusanya wenzangu nawafundisha
Tumweshimu mama, wapi tunda pasipo mbegu?
Imeandikwa iwapi rutuba pasipo nyevu
Usipojua umuhimu wa msingi kwa kuta ndefu
Ni sawa na kuzipanda mbigiri na kuja peku
We' ni sauti ya uchochezi, hasa n'napolega
We' ni lugha we' ni kurasa yangu pendwa
We' ni kitabu kitamu siwezi weka kando nikishika
We' ni ka' kiini kwenye Atom
We' ni Oprah, Michelle, Shyrose Bhanji
We' ni Winnie Mandela, Sophia(sonia) Ghandhi
We' ni kama paka mwenye roho tisa
We' Serena, we' ni Stosh Fellie, Go Tifa
You're my Violet my Rose and my lily ah!
You're my best friend, you're my wishing star
You're my sweet dreams my wonder woman
My Cat woman, you are my first love and that's vivid
You love when I'm broke and when I get paid
Before and after my payday
You love me anyway, so I surrender my Ego
And my Arrogance and I'm singing happy birthday
Happy birthday oh
Happy birthday
Happy birthday
Happy birthday

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Fid Q

Исполнитель

Songa

Исполнитель