Ingekuwa, jambo la kustahili Sijui ningekuwa wapi Ingekuwa sababu ya matendo Sijui ningetupwa wapi Ingekuwa kulingana jina Sijui ningeitwa nani Ningeitwa marehemu Ningeitwa mimi tasa Ningeitwa asiyefaa Asante Yesu kwa neema yako Wokovu nimepata bure Asante Yesu kwa neema yako Kufa ningekufa Asante Yesu kwa neema yako, kutupwa ningetupwa Jalalani ungenipata Nikila uchafu Msituni ungenikuta nikila majani Jalalani ungenipata nikiwa mchafu Msituni wangenitupa niishi na wanyama Mnyonge mimi wangenidharau tuu Dhaifu mimi wangenikanyaga tuu Sina nguvu mimi wangenimaliza tuu Ningetupwa kwenye tanuru la moto niangamie Ningetupwa kwenye shimo la simba nifie huko Ningetupwa kwenye tanuru la moto niangamie Ningetupwa kwenye shimo la simba nifie huko Jalalani ungenipata nikila uchafu Msituni ungenikuta nikila majani Asante Yesu kwa neema yako wokovu nimepata bure Asante Yesu kwa neema yako kufa ningekufa Asante Yesu kwa neema yako kutupwa ningetupwa Jalalani ungenipata nikila uchafu Msituni wangenitupa niishi na wanyama Ni kwa neema (neema) Neema (neema), neema (neema) Asante kwa neema (neema) Neema (neema), neema(neema) Ooh, ni kwa neema (neema) Neema (neema), neema(neema) Asante kwa neema (neema) Neema (neema), neema (neema) Mmmhh Naishi kwa neema (neema) Neema (neema), neema (neema) Ooh, kwa neema Neema (neema), neema (neema) Uhai kwa neema (neema) Neema (neema), neema (neema) Huduma ya neema (neema) Neema (neema), neema (neema) Ooh. Ni kwa neema yako