Kishore Kumar Hits

Esther Wahome - Chaguo Leo текст песни

Исполнитель: Esther Wahome

альбом: Kuna Dawa


Mimi nimeamua
Nitamtumikia
Mwokozi wangu
Mimi nimeamua
Mimi nimeamua
Nitamtumikia
Mwokozi wangu
Mimi nimeamua
Njia ni nyebamba iendayo uzimani
Njia ni pana sana iendayo mautini
Amua leoo
Amua leoo
Amua leoo
Utakayo ifuata
Kama vile yoshua alivyo amua
Mimi na nyumba yangu tutamtumikia
Chagua leoo
Chagua leoo
Chagua leoo
Utakaye mtumikia
Mimi nimeamua
Nitamtumikia
Mwokozi wangu
Mimi nimeamua
Mimi nimeamua
Nitamtumikia
Mwokozi wangu
Mimi nimeamua
Wote walio mwamini aliwafanya waana
Watatawala naye milele na milele
Amini leoo
Amini leoo
Amini leoo
Utafanyika mwana
Wote waliolemewa an await anawaita leo
Wote waliobebeshwa anawapumzisha
Njooni leoo
Njooni leoo
Njooni leoo
Anawapumzishaa
Mimi nimeamua
Nitamtumikia
Mwokozi wangu
Mimi nimeamua
(Chagua leo)
Mimi nimeamua
Nitamtumikia
Mwokozi wangu
Mimi nimeamua
(Chagua yesu)
Mimi nimeamua
Nitamtumikia
Mwokozi wangu
Mimi nimeamua
(Chagua leo)
Mimi nimeamua
Nitamtumikia
Mwokozi wangu
Mimi nimeamua
Upendo wake Mungu kweli ni wa ajabu
Nehema zake nazo kweli ni za milele
Muite leoo
Muite leoo
Muite leoo
Na atakuokoaa
Mimi nimeamua
Nitamtumikia
Mwokozi wangu
Mimi nimeamua
(Chagua leo)
Mimi nimeamua
Nitamtumikia
Mwokozi wangu
Mimi nimeamua
Chagua leo
Chagua Yesu
Chagua leooo
Chagua leo
Chagua Yesu
Chagua leooo
Mimi nimeamua
Nitamtumikia
Mwokozi wangu
Mimi nimeamua
(Chagua leo)
Mimi nimeamua
Nitamtumikia
Mwokozi wangu
Mimi nimeamua
(Chagua yesu)
Mimi nimeamua
Nitamtumikia
Mwokozi wangu
Mimi nimeamua
(Chagua leo)
Mimi nimeamua
Nitamtumikia
Mwokozi wangu
Mimi nimeamua

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители