Kishore Kumar Hits

Ferooz - Nakaza Roho текст песни

Исполнитель: Ferooz

альбом: Nakaza Roho


Monkooo!
Nikisema sana! Mi nitakufuru Mungu
Mungu wangu mieyee!
Sitakikusema labda haikuwa ridhiki yangu.
Ndoo maana inikimbieeeh!
Sitaki sema labda nilifanya starehe sana!!
Sanaaaah!!!
Nilijali washikaji, Wazazi, Ndugu na wanaa.
Wanaaah!
Hata kwa maulanaaaaah!
Kupanda na kushuka ametuandikia
Mimi sio mdhambi sanaaah!
Dunia mapito ndo napita njiaaah!
Huenda ninapimwa imaniii!
Ya nini? Nikate tamaaah!
Nainarudi tena yangu thamani.
Na mabonde ninashushaaaah!
Aaaaaaaaah!
(Aaaaaaah!)
Nishasikia mengi sana.
(Aaaaaa!)
Mengine yakunichefua roho.
(Aaaaah!)
Nishasikia mengi sana.
(Aaaaaa!)
Mengine yakuvunja imani.
(Aaaaah!)
Nimesikia mengi sanaa!
(Aaaaaa!)
Nimekuwa mteja wa kutupwa mieeh!
(Aaaaah!)
Nishasikia mengi sanaa!
(Aaaaa!)
Nimekaza rohoooh!
Binadamu! Binadamu!
Wamejawa na chuki kibaoooh!
Wanaotoa siri za ndani.
Wakwanza niwounakula nao.
Aneyekusifia mema.
Ndiye wakwanza kutangaza mabaya nikuambieeeeh!
Profz chigecheke ndugu zangu wakaribu.
Leo hataki kunisikiaah!
Hata mapromota wa show na madijey
Ngoma zangu wamezisusiaaa.
Mahusiano yamekwisha.
Ndoa imevunjiakaa.
Mama watoto kakimbiaaa.
Wadau simu hawataki pokeaa.
Wakipokea wananifokea.
Huenda nina pimwa imani
Ya! nini? Nikate tamaaah!
Nainarudi tena yangu thamani.
Na mabonde ninashushaa
Aaaaaaaaah!
(Aaaaaaah!)
Aaaaaaah!
Aaaaaaah!
Haaaaahaah!
Aaaaaaah!
Sikia sauti ya kizeee!
Wabeshi na moko tukazeeh.
Congo, Kampala, Nairobi waelezeeeh!
Wamonko genius

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Chege

Исполнитель

Fid Q

Исполнитель