Kishore Kumar Hits

Dully Sykes - Indemonie - In The Morning текст песни

Исполнитель: Dully Sykes

альбом: Dully Sykes Top Hits


Wasafi
Eyo Layza,
Handsome,
Prince dully sykes
Brother Man
SI sura tu bali shavu na tabia
Alivyobarikiwa ah sura na tabia
Amemwona ni roho juu
Akiniangalia moyo unatulia, ni uzuri wakaona.
I say hi, hi kwanza nafurahi
Katoja kama maabo nipe kikombe cha chai
Najidai uku baby haifai, bila shy hi
Kwa madai mbona wamasaa
We ni baby bila kipimio, macho mpaka kisingino
Nikumwagilie wino yangu sio mbilikimo
We ni baby bila kipimio, macho mpaka kisingino
Nikumwagilie wino yangu sio mbilikimo
Anacheka eh, anacheka, anadensi eh anadens
Anacheka eh, anacheka, anadensi eh anadensi
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
I say lalalala kiuno chako propeller
Yako umeivisha better, uzuri mpaka unakera
In the morning unanipa bila shaka
Mwingine hapana taka
Kiunoni baby wacha mashaka mie hoi
Mwenyewe sioni una utamu wa mata
Natafuna ninavyotaka nimo jangwani nipatiwe wa arusha.
We ni baby bila kipimio, macho mpaka kisingino
Nikumwagilie wino yangu sio mbilikimo
We ni baby bila kipimio, macho mpaka kisingino
Nikumwagilie wino yangu sio mbilikimo
Anacheka eh, anacheka, anadensi eh anadensi
Anacheka eh, anacheka, anadensi eh anadens
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Mtoto unavyonipamba ninakwisha kabisa
Waka pabaya pabaya
Mtoto unavyonipamba ninakwisha kabisa
Waka pabaya pabaya
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Waka waka
Waka waka
Waka pabaya
Waka waka
Waka waka
Waka pabaya
Waka waka
Waka waka

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Chege

Исполнитель

Fid Q

Исполнитель

Wahu

Исполнитель