Eee leooo afrika Ooh wele yoo x3 Afri afrika Afrika ni bara zuri sana Lenye nchi mbali mbali Mashariki magharibi kote Kaskazini na kusini kote Wanyama mbali mbali wa kupendeza Milima na mabonge ya kuvutia Ooob welee oooh afrika aah aaah Afrika tuwe na aman tuwe na mshikamano Aman iwe ya kudumu Tuache umwagaji wa damu tulee vizazi vijavyo Tuwe na amaniii Au au au we kani savaivu afrika x2 Trabolizin afrika x2 Afrika yelee yele yelee afrika oohhh Afrika aaafrikaaaa X4 Afrika umoja tushikiane rwanda burundi Kongo laiberia Wana wa sudaniii Tanzania kenya uganda Wana ephiopia wana wa elitriaaa