Ey ohooo ayoooo Nilianza kama moja pili nikusubili mama ahaa mi ndo taa umenizima mshumaa Usiku silaliii nawaza sarali usiku silaliii nisake sarali mama ahaa nilikwamini mwanga gizani uwe na mimi tukiwa chumbani Nilikwamini mwanga gizani uwe na mimi tukiwa chumbani mamaaa Ingali mapema ningetambua kwamba hiki sio chema nikagundua ingali mapema ningetambua kwamba hiki sio chema nikagundua Tena umezuka na utani et napungua kwa wangu majirani kisa umekimbia ayy unanipa mawazoo mama ohoo usiku silali unanijiaga ndotoni aahh nilikwamini mwanga gizani uwe na mimi tukiwa chumbani Nilikwamini mwanga gizani uwe na mimi tukiwa chumbani mamaaa Ingali mapema ningetambua kwamba hiki sio chema nikagundua ingali mapema ningetambua kwamba hiki sio chema nikagundua ingalimapema ningetambua kwaba hiki sio chema nikagundua