Nimeiona nyota naifuata hiyo Inioneshe mtoto alipo. Ni nyota ya baraka yaungarisha moyo Uwe mweupe kama theluji. Nimeambiwa yupo Bethlehemu Lakini mimi naifuata nyota... x 2 Wachunga, (tangulia!) Wachunga, (tangulia!) Mbele... Mpaka pale Bethlehemu horini. Wachunga, (tangulia!) Wachunga, (tangulia!) Mbele... Mpaka pale Bethlehemu horini. Mamajusi wabeba tunu na mane mane Wamzawadie mtoto Yesu. Wamwimbia na nyimbo za shangwe na furaha Immanueli amezaliwa. Nimeambiwa yupo Bethlehemu Lakini mimi naifuata nyota... x 2 Wachunga, (tangulia!) Wachunga, (tangulia!) Mbele... Mpaka pale Bethlehemu horini. Wachunga, (tangulia!) Wachunga, (tangulia!) Mbele... Mpaka pale Bethlehemu horini. Kwenye hori la ng'ombe ndipo alipolazwa Mkombozi wetu Yesu Kristo Maria na Yusufu wambembeleza mtoto Mpaka usingizi hawapati. Nimeambiwa yupo Bethlehemu Lakini mimi naifuata nyota... x 2 Wachunga, (tangulia!) Wachunga, (tangulia!) Mbele... Mpaka pale Bethlehemu horini. Wachunga, (tangulia!) Wachunga, (tangulia!) Mbele... Mpaka pale Bethlehemu horini. Ee ndugu utayari kumpokea mkombozi Azaliwe rohoni mwako Azifungue kamba za muovu ibilisi Ukawe mtu huru kabisa. Nimeambiwa yupo Bethlehemu Lakini mimi naifuata nyota... x 2 Wachunga, (tangulia!) Wachunga, (tangulia!) Mbele... Mpaka pale Bethlehemu horini. Wachunga, (tangulia!) Wachunga, (tangulia!) Mbele... Mpaka pale Bethlehemu horini.