Nasikia kengere za christmas zinalia sasa... Ni wapi ni wapi ni wapi mwokozi wangu amezaliwa... Tazama nyota hiyo ina kwenda bethlehemu kwenye holi alipolazwa mtoto kristo yesu mwokozi... Wachungaji waliacha kondoo zao waifuata nyota ya mashariki... Nawe christmas acha vyote kwanza msalini eeh mtoto yesu... x 2 Nazisikia shangwe za christmas zinavuma kote... Ni wapi ni wapi ni wapi mwokozi wangu amezaliwa... Ahadi zake mungu zatimia leo kwetu kazaliwa mwokozi yesu... Wachungaji waliacha kondoo zao waifuata nyota ya mashariki... Nawe christmas acha vyote kwanza msalini eeh mtoto yesu... x2 Sikieni kelele za christmas duniani kote ni wapi ni wapi ni wapi mwokozi wangu amezaliwa Mjini mwake daudi kazaliwa mtoto yesu na ufalme uko begani hata milele... Wachungaji waliacha kondoo zao waifuata nyota ya mashariki... Nawe christmas acha vyotekwanza msalini eeh mtoto yesu... Wachungaji waliacha kondoo zao waifuata nyota ya mashariki... Nawe christmas acha vyotekwanza msalini eeh mtoto yesu...