Tunavunja mifupa tukiskiza mapangala Baraza ni ya mabazu madenge masafara Vako za uchafuzi hadharani kimuhadhara Leo huku kumoto huku rada mamudialala Napiga ki Monster nikingoja ki litre Harufu ya vela ficha na moshi ya shisha Divai kwa glasi kama ibada kwa misa Funga macho wale wanakunjana kwa giza Hii side yetu ni kigoco Mapinji wako wera mbaya sana chunga mbosho Siku hizi shingo chafu vile goro ni za Congo Uno Jadi kwenye santuri pinda mgongo Wacha zitubambe nah nah nah Mzuka zitupande nah nah nah They like call me the wanna goer Icy kwa glasi na hio ndogo Wacha zitubambe nah nah nah Mzuka zitupande nah nah nah They like call me the wanna goer Inama napinda mgongo, mgongo mgongo Inama napinda mgongo, eeh mgongo Inama napinda mgongo Kama matiki mziki katika na udance to the rhythm Basi enjoy vipolite vile night iko right feel feeling Karibu kwenye penzi vile zimewai zimenishika kishenzi Kwenye densi usiwe shy ka ni sensi tuseti Kwenye densi, densi densi densi Wacha zitubambe nah nah nah Mzuka zitupande nah nah nah They like call me the wanna goer Icy kwa glasi na hio ndogo Wacha zitubambe nah nah nah Mzuka zitupande nah nah nah They like call me the wanna goer Inama napinda mgongo, mgongo mgongo Inama napinda mgongo, eeh mgongo Inama napinda mgongo Zimenyc babe lemme tell yah Now you know you rocking with the Donate Lla Ain't nobody badder you can compare Compare eeh Na form imeshika basi fika na umati Chance zikijipa basi jua mi sihati Tamu give me fever baby ingilia kati Ingili, ingili, ingilia kati Na form imeshika basi fika na umati Chance zikijipa basi jua mi sihati Tamu give me fever baby ingilia katiI Ngili, ingili, ingilia kati Wacha zitubambe nah nah nah Mzuka zitupande nah nah nah They like call me the wanna goer Icy kwa glasi na hio ndogo Wacha zitubambe nah nah nah Mzuka zitupande nah nah nah They like call me the wanna goer Inama napinda mgongo, mgongo mgongo Inama napinda mgongo, eeh mgongo Inama napinda mgongo