Kishore Kumar Hits

Fid Q - Nilipotoka текст песни

Исполнитель: Fid Q

альбом: Propaganda


Tongwe records for ever
Nimbali sana napotokea na nazidi kupotea kwa kusonga mbele
Nimbali sana napotokea na nazidi kupotea kwa kusonga mbele
Namiliki cheupe mangara japo nina jeusi
Dawa agharabu dhiki haitaki tajiri twende sawa
Mabangarow na magari kama watoto wa bhakressa
Kariakoo kwa muuza duka nathamani zaidi ya pesa
Sio muuza sangara mtaani huniita ghetto
Professor uliza dandalov nina heshima kama dudu kisesa
Bongo mnacheza ninyi ni wabongo na hii mdo yenu
Fleva mnanipa kiinua mgongo nawashukuru napata fedha
Naweza kumbuka nilichoona nikasahau jina la movie
Unaweza shindwa kunisoma sababu tu ya haya maujudhi
Kazi yangu mi ni ku-Create hizi words na
Punch za mkono wa chuma kama wa Amita au cyborg
Nanin'giniza Mcee km chain za gold kwenye
Kifua cha pendezee najua unanisoma bwaashee
Nina Floo coz kuna F kwenye Fid Ni
Mwanza coz kuna M kwny Mcee na who else can be
Niite Ngosha the Don na sio James Japo my words are born na'make
Dollar in make sense Mafala wana entertain hayo
Maswala kudadadeki Nahitaji respect na sio stress kama Keynes
Nimbali sana napotokea na nazidi kupotea kwa kusonga mbele
Nimbali sana napotokea na nazidi kupotea kwa kusonga mbele
Na-Change rock city kuwa Rap city
Natabasamu hata kama ninanjaa Niheshimu
Kama rhymes ni majungu basi ufalme ni wajamaa
Historia hujirudia sio sana kama movie za Chaplin Amani kwa mamcee na
Maproducer wazuri wa sampling nipo na customers sihitaji
Ku-hustle naenda nao ngazi kwa ngazi leta u-snitch wata ni-blascode
Siogopi kukosea ndio maana wananiita
Mbunifu nazidi kuendelea napakua heats kila siku
Nasema naongea natema vitu vipo deep Mapema
Niliacha kugongea na kuona magang sio issue
Nachukia kukosea na siwezi kufurahia
Kupotea Kimbia napotembea kama unataka kunifikia
Na Pia me sina spare kama unavonisikia
Najua vile unionavyo sivyo ulivonihisia
Sichagui kama mbombo kwa adui naweza
Jikomba naikamgusa hata akiweka ukuta ka-Mjomba
Mnajiuliza me ni nani nawajibu me ni mtu
Flani Msomi kitaani nani anasema call me name
Wapinzani siwaoni mliopo gizani njooni kwa
Mfalme Mnayoyafanya ndotoni mi nayafanya adharani
Nimbali sana napotokea na nazidi kupotea kwa kusonga mbele
Nimbali sana napotokea na nazidi kupotea kwa kusonga mbele
Nimbali sanaaa napotokeaaa kuna mvua jua kali sanaa maghetto kibao
Naomba mjua rock city Hip hop is back and run in the full power

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Chege

Исполнитель